Anonymeous
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 275
- 484
Duh! Mkuu inaonekana huyo ''kinyangarika' ana ushawishi mkubwa ndani ya chama kuliko hao wazee hivyo hakuna wa kumkemea.Kwanza mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kuwa hili ni kweli, lakini ikitokea likawa kweli, Kinana na Makamba wakajitoa CCM kwasababu ya kile kinyangarika, then huu utakuwa ni uthibitisho kuwa wamegundua kile kinyangarika kinatumwa tuu, hivyo ili kulinda heshima zao, wakaamua kujiepusha na CCM.
Kitendo cha watu waliokipigania chama kwa machozi, jasho na damu katika maisha yao yote, halafu, wakaja kuchafuliwa na kudhalilishwa na kinyangarika fulani ambacho kinatumwa, karma ya Kinana na Makamba ni kubwa, hivyo kama hii ni kweli, then just sit and watch jinsi karma itakavyo kishughulikia hicho kinyangarika na anayekituma!.
P
Ulisisikia zile audio clip wewe bavicha au uko obsessed na musiba?Lakini inakera sana......
Wao makatibu wakuu wastaafu wa CCM walimwandikia barua Msekwa, kuelezea kusikitishwa kwao na kitendo cha mwanachama mwenzao Musiba, kuwadhalalisha na kuwaita kuwa wanamkwamisha Rais Magufuli katika juhudi zake za kuwaletea maendeleo watanzania........
Badala ya Kamati hiyo ya maadili kumwita pia huyo anayeitwa Musiba ili kumhoji kuhusu tuhuma zake ili aeleze hao makatibu wakuu wastaafu wanakwamisha vipi juhudi za Rais katika kuleta maendeleo, badala yake wanawaita hao makatibu wakuu wastaafu ili wajibu tuhuma za sauti zao kuvuja ikidaiwa kuwa wanamkashifu Mheshimiwa Rais!
Ndiyo tatizo la huyu jamaa, kutaka kukiendesha hiko chama chake kwa ubabe, badala ya nguvu ya hoja
Sijawahi kuona mwanajeshi anaekubali kuburuzwa na asiye mwanajeshi aliyemzidi cheo.
Nionavyo, namna pekee ya kuwahoji hao wazee ni kuwaomba miadi (appointment) na kuwafata majumbani kwao, kwa heshima zote wanazostahiki kwa umri wao na nyadhifa zao walizostaafu, na kufanya nao mahojiano ya kistaarabu.
Huwezi kuwaweka kitimoto hao wakakubali. Hawana cha kupoteza.
Madam anataka rais muislamu. Na hapo kawatetea waislamu kwa kofia ya wanajeshi wastaafu, membe ni mkristo hajamtaja.Naona Madame FaizaFoxy umeamua kuutema ukweli wa mambo
Itakuwa vyema kwa kila mwananchi ampinge huyu jamaa, kwa haya maovu yake anayolifanyia Taifa hili
Ukweli ni upi bwashee?
Ukweli ni upi bwashee?
Tenda wema ondoka zako. Kama walitegemea kupewa shavu wasahau. Nao waliingia sisiemu kwa kubebwa na mtu.inauma sana, huku wakikumbuka wamemfanyia mtu kampeni mpaka leo hii yupo madarakani atokee muhuni tu na aanze kuwabeza, aisee...!
Tayari wameshapokelewa ufipa. Wanangoja kupitishwa kugombea urais. Nimeambiwa (na chanzo cha uhakika), kesho kutwa makamanda watatangaziwa.
Naanza kuuona moshi mwekundu ukifuka kutoka kwenye himaya ya wana ccm pale lumumbaKundi limejigawanya
1. Nyie Kaombeni msamaha kwa kuwa bado Juniors
2. Wewe nenda kahojiwe na uwaeleze kinagaubaga japo Kamati tunajua itachuja maneno na kuishia kusema kwa aliewatuma '... Hakuwa na hoja yoyote zaid ya blaa blaa...' badala ya kumueleza ulichosema
3. Nyie msiende kabisa.
Hapo mtakuwa mmetumia options zote tatu zilizopo so mpira tunaurudisha upande wao nao wacheze
Mshauri wa Waasi, Field mashal ........
Sent using Jamii Forums mobile app