Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, watu hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Karibuni🙏
Kwa kutumia maneno hayo tu huwezi kufanya conclusion yoyote kwa sababu ni kitu ambacho ni fact na kipo kila mahali. Ni kama amesema mvua isiponyesha kunakuwa na ukame. Tungeweza kufumbua hilo fumbo iwapo tungesikia hotuba yake yote.
 
Ingia U-Tube isikize Kisha utuletee hapa.

Bei ya bundle Si waijua?
 
Hivi kulazimisha tuingie uchaguzi 2025 bila Tume huru ya Uchaguzi Si TABIA mbaya Kweli?
 
Back
Top Bottom