Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

Anawatafutia Kifo! Wao Ma CCM shida Yao ni kupata kura 2025 hawajali maisha ya watu.
Akili Za kupewa unatakiwa uongeze na za kwako.
 
Huyu pimbi atasababisha ajali ziongezeke pia vipato vya bodaboda vipungue kwa sababu itamlazimu mwendesha bodaboda akae kipindi kirefu kupata abiria hata kama itakuwa ni option ya abiria kupanda single au mshikaki
 
Huu ni ujuha kwenye siasa kaka yangu Kinana.

Kila siku askari wa usalama barabarani wanapambana kukomesha upakiaji wa mishikaki kwenye bodaboda.

Wewe kwa kutaka kupata wapiga kura unaamua kuwaruhusu hao bodaboda wabebe mishikaki?

Yaani unathamini kura kuliko uhai wa watanzania?
Kinana hapa umekengeuka.

Watanzania tuamke hawa ccm wamekusudia kutumaliza makusudi.
Your browser is not able to display this video.
 
Mzeee wa🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘
 
Halafu anajiona yuko juu ya mamlaka kuamrisha chochote atakacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa siyo la msemaji,kosa ni la hao wanaoshabikia uzuzu
 
Huyu mzee akapumzike kwani 'upstairs' kumeanza kuyumba mno mno hadi kuongea hizi pumba!
CCM ni janga la Taifa wajameni!
 
Sijawahi hata siku moja kumwamini mtu anaitwa Kinana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…