Chenge ndo mwandishi wa KATIBA ya sasa na Sheria zake,Hilo la Chenge na rasimu ya Warioba kuna uhusiano gani?
Yeah, walalamikaji ni Mzee Halima Mdee, mkewe Bulaya na wenzao.Hii ya wabunge 19 wameshtakiwa?
Semina lazima ilitangulia kabla ya kikao kwa ajili ya kuwafunda viongozi wa chadema kuhusu na kuzingatia Sheria na maadili ya kikao, siyo kuanza kuongea ongea tu Kama walivyozoea kufanya, ndio maana unaona leo walau wamejirekebisha baada ya kupewa madini toka kwa nguli wa sayansi ya siasa ndugu Kinana
Halafu matatizo yote hayo hayajaletwa na CHADEMA bali na CCM, lakini lawama wanataka kuzitupia kwa CHADEMA,Sasa Kama watu wamepigwa na tozo, mfumuko wa Bei, mgao wa umeme, mgao wa maji na rushwa juu lakini wanaikenulia CCM mdomo utafanyaje ?. Wananchi hawajihurumii Nani atawahurumia?
Kufanya siasa kwa Uhuru ndio muhimu kuliko kero za wananchi kuhusiana na tozo na mfumuko wa bei, kero za maji na umeme?
Kataa au kubali wanasiasa wa Afrika ni wa Binafsi, wanashughulikia matumbo yao tu.
Kinana au Mbowe haiwahusu sio? Kwaiyo hiyo mikutano ya siasa watafanyia Zimbabwe?Wananchi wanao Wenyeviti wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge na Rais. Unataka watu wasiotajwa kikatiba kushughulika na matatizo ya watanzania wafanye kazi isiyowahusu?
Nawapa wanasiasa wachumia tumbo, kuamua kukaa na CCM huku wakijua ccm ni wanafiki ni kusaliti wafuasi wao.Hizo lawama wapelekee CCM .
Kwani kwa kuwa kuna hayo matatizo vikao vingine ndiyo haviendelei? Wawakilishi wako kwa hayo matatizo uliyoyaorodhesha ni Wenyeviti wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge na Rais, WALALAMIKIE HAO.Kinana au Mbowe haiwahusu sio? Kwaiyo hiyo mikutano ya siasa watafanyia Zimbabwe?
Ndio semina Inafanyika humo humo kuwafundaHakuna Cha semina. Kikao cha kwanza kilifanyika ikulu. Hichi Ni Cha pili.
Hivyo vyama vingine ni matawi ya chama tawala, hivi ni vikao baina ya chama tawala na chama cha upinzani.My point is kwa nini chadema tu na sio vyama vingine?
Semina ya kuzimu mbinguni huwa haikubaliki.Ndio semina Inafanyika humo humo kuwafunda
Hapakuwa Bado na mfumo imara wa Vyama mbadala vya kuipokea CCM.Kuna mahala tunaogopa kuwa nayo
Labda visiwa wanataka mengi who knows
Haiwezekani wakajivuta hivi tangu JKN
Alisema kwa katiba hii anaweza kuwa Dictator lakini hakubadili why?
Viongozi wa chadema lazima wapewe semina ya utangulizi ili wasije toka hapo na kuanza kuongea ongea tu hata kabla mazungumzo hayajafika mwishoSemina ya kuzimu mbinguni huwa haikubaliki.
✍️ 👍"Ile kesi ya covid-19 imekaa vibaya,wanamtaka hao covid-19 waendelee kubaki au wakitemwa wachaguliwe WENGINE ILI uhalali wa kisheria wa Bunge uwepo ILI lisipoteze uhalali kisheria kimataifa HASA kidemokrasia wasije pia kosa misaada na mikopo kutoka kwa wahisani"
Kuongeongea ndiyo kukoje.Viongozi wa chadema lazima wapewe semina ya utangulizi ili wasije toka hapo na kuanza kuongea ongea tu hata kabla mazungumzo hayajafika mwisho
Ulishaona wapi kuna kikao cha hadhara?.Hicho ni kikao na wajumbe husika ndio wahudhuriaji wakishamaliza watasema kilikua kinahusu nini.Wameshasema watakuja kusema kilichojadiliwa sasa wewe kinachokusumbua ni nini?.Usiri wao kwa manufaa ya nani?
Ndio lazima wapewe semina ili wafuate maadili ya kikaoKuongeongea ndiyo kukoje.
Semina wapewe na watu wanaopenda kuteta teta wenzao kwenye simu badala ya kuwafuata uso kwa uso!!?
Kina maadili gani ya kutakiwa kufuatwa??Ndio lazima wapewe semina ili wafuate maadili ya kikao