Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

Hujui kitu kabisa. CCM sisi ni bonge la chama naona kichama chenu mfu mnatafuta pa kutokea hahaha
 
Mkuu mlipokea Ruzuku ya billion 2.7 ambayo inajumuisha na wabunge mlio waita covid 19?
 
Mkuu mlipokea Ruzuku ya billion 2.7 ambayo inajumuisha na wabunge mlio waita covid 19?
Labda turudie tena kufundisha , Ni hivi , Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na Wabunge wa viti maalum
 
Tunazungumzia maji hatuzungumzii makundi ya maji Bro
 
CHADEMA wana kanisa!!??
 
Tunazungumzia maji hatuzungumzii makundi ya maji Bro
Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P
 
Hata mimi nilishangaa ....Chama kimkosa Agenda
 
kwahiyo ccm wameingia kwenye mfumo wa chadema 😀

sheria mpya ya tume huru na uchaguzi itawasaidia sana mpate wabunge wengi zaid uchaguzi ujao.

kwakweli mmefosi hadi maoni yenu yamezingatiwa bara-bara na yanakwenda kua sheria..
 
Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P
Whatever, hio ni choice yako, utaamua uyaoge, uyanywe, ufulie au ubatizie kwenye ubatizo WA maji machache au mengi. The choice is yours
 
Unatakla tukuamini? Basi tuheshimu kwa sababu nasi tuanaona, tunasikia na kusikiliza
 
Chadema nawahasa 2025 sio mbali mmekazana kujipamba hapa wananchi hatuwaoni

Mfano mdogo tu ziara za Mwenezi Makonda zinawatoa kwenye reli TUTAFIKA KWELI isije fika mwakani mkaanza kuungua mkono juhudi oooooohooo
 
Ulipotaja Makonda tu nikakudharau .
 
Mwenezi wa chadema inabidi atulie tu. Maana chadema inaenezwa na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…