ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chadema bana nini sasa hiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kitu kabisa. CCM sisi ni bonge la chama naona kichama chenu mfu mnatafuta pa kutokea hahahaNimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Mkuu mlipokea Ruzuku ya billion 2.7 ambayo inajumuisha na wabunge mlio waita covid 19?Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Labda turudie tena kufundisha , Ni hivi , Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na Wabunge wa viti maalumMkuu mlipokea Ruzuku ya billion 2.7 ambayo inajumuisha na wabunge mlio waita covid 19?
Tunazungumzia maji hatuzungumzii makundi ya maji BroNaunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.
Kwa vile maji yako ya aina nyingi, yako maji yaliyotulia kama maji ya mtungi, yapo maji tiririka, yanapita yanakwenda, yapo maji ya uzima, yapo maji ya kuoga na kuosha, yapo maji ya ku flashia, yapo maji ya mvua inanyesha, yanazama etc etc,
CCM ni maji ya mezani, maji ya kunywa, maji ya uzima, ndio maana CCM wako mezani, karamuni wanajilia na kushushia na maji, huku nchi inasonga.
Jee Chadema ni maji ya kwenye kundi gani?, maji ya mezani wenyewe wapo!
P
CHADEMA wana kanisa!!??Samia pia alikwisha ingia alihudhuria mkutano mkuu wa bawacha,amemkaribisha Mbowe ikulu,amechangia 150mil kanisa la chadema ameruhusu mikutano ya kumshambulia usiseme katiba kipindi cha magufuli ilikuwa kimya mkatii bila shuruti,amewachia muandamane mfumo gani tena ambao hajaingia na tume pia amewaachia muiteue nyinyi chadema!
Muulize Mbowe!CHADEMA wana kanisa!!??
Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.Tunazungumzia maji hatuzungumzii makundi ya maji Bro
Hata mimi nilishangaa ....Chama kimkosa AgendaNimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
kwahiyo ccm wameingia kwenye mfumo wa chadema 😀Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Whatever, hio ni choice yako, utaamua uyaoge, uyanywe, ufulie au ubatizie kwenye ubatizo WA maji machache au mengi. The choice is yoursYes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P
Kwa kuwa umeshaonwa na sisi tunasonga mbele🤪Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Unatakla tukuamini? Basi tuheshimu kwa sababu nasi tuanaona, tunasikia na kusikilizaNimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Unajua maanq ya uchaguzi huru na wa haki???Mkija kushtuka tayari CCM imetangazwa mshindi kupitia sanduku la kura
Kama huna masikio basi hata kupapasa huwezi ?Unatakla tukuamini? Basi tuheshimu kwa sababu nasi tuanaona, tunasikia na kusikiliza
Ulipotaja Makonda tu nikakudharau .Chadema nawahasa 2025 sio mbali mmekazana kujipamba hapa wananchi hatuwaoni
Mfano mdogo tu ziara za Mwenezi Makonda zinawatoa kwenye reli TUTAFIKA KWELI isije fika mwakani mkaanza kuungua mkono juhudi oooooohooo
Ukweli huwa unaumaUlipotaja Makonda tu nikakudharau .
Katika hao wenyewe na Mimi Hesabu nimoUsichokijua ni hiki , CCM ina wenyewe
Mwenezi wa chadema inabidi atulie tu. Maana chadema inaenezwa na ccm.Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .