Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

bado huyu wa hapa tena ipitishe sheria wanyongwe hadharani kama wanavyoua watz na kuwatupa baharini ...................

i wish niishi mpaka afe namchukia
 
Con
Content fit only for the Dustbin.
 
bado huyu wa hapa tena ipitishe sheria wanyongwe hadharani kama wanavyoua watz na kuwatupa baharini ...................

i wish niishi mpaka afe namchukia
Mkuu usiwe na chukiisiyo na maana.Utaumizamwili na afya yako bure.
 
Kama ilivyo mbali mbingu na ardhi, vivyo hivyo huu ushauri na ccm. Katika nchi ambayo mahakama na bunge havipo huru sahau kabisa hilo bwasheee
Haya subiri kidogotu nakuletea lingine tena. Unawezekana sana.
 
Kama Korosho zimepata soko tamu hivyo, Mb Nape Nnauye aingelalamika Bungeni juzi..
Kwa Serikali hii, na chama hiki cha kuminya uhuru wa habari, tutalishwa matango pori kila siku..
Si kweli mkuu.
 
bado huyu wa hapa tena ipitishe sheria wanyongwe hadharani kama wanavyoua watz na kuwatupa baharini ...................

i wish niishi mpaka afe namchukia
Una uhakika kuwa ni yeye ndo anayefanya hayo?
 
Kama ilivyo mbali mbingu na ardhi, vivyo hivyo huu ushauri na ccm. Katika nchi ambayo mahakama na bunge havipo huru sahau kabisa hilo bwasheee
Siku inakuja watajitambua na kuamka toka usingizini.
 
Kama Korosho zimepata soko tamu hivyo, Mb Nape Nnauye aingelalamika Bungeni juzi..
Kwa Serikali hii, na chama hiki cha kuminya uhuru wa habari, tutalishwa matango pori kila siku..
Uhuru wa habari ki uhalisia umokatika Katiba yetu.
Ilimradi uwe usiona uchochezi vile.
Mtu akikuonea bure. Ziko sheria nenda mahakamani shitaki.
Ndo maana ya mahakama.
 
Sasa serikali na vyombo vya ku-deal na ufisadi viko wapi na ndio maana tunasema hii serikali haifai ilituahidi itashughulikia hayo, sasa wapi. Iko tu busy kununua wapinzani na kuwajeruhi wengine wao. Bogus kabisa.
 
Uhuru wa habari ki uhalisia umokatika Katiba yetu.
Ilimradi uwe usiona uchochezi vile.
Mtu akikuonea bure. Ziko sheria nenda mahakamani shitaki.
Ndo maana ya mahakama.
Siku ya kupewa dhamana ikiwadia, hakimu anaingia mitini......!!!!! Amri kutoka mbinguni.!
 
nakuelewa sana mkuu lkn tunaanzaje ikiwa bado mpaka leo watu wanapigia kura wagombea kwa kuhongwa elfu 7 au tshirt na kofia na miongoni mwetu wale mungu aliewapa upeo wa kujua mambo wanaokosoa wanaitwa wachochezi na sisi miongoni mwetu tunakubali yawafike ya kuwafika tukiaminishwa ni wachochez kweli sioni mwanga wwte huko mbeleni ni kiza tu kimetawala
 
hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA????
Mambo gani makubwa yaliyofanyika, wakati CAG ripoti deni LA taifa limepaa!
 
Mleta mada tunakufuatilia tukupeleke uhamiaji tuna mashaka na uraia wako. Sisi watanzania tunajijua ni wapole,waoga na wanyonge na huwa hatuna makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…