Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
bado huyu wa hapa tena ipitishe sheria wanyongwe hadharani kama wanavyoua watz na kuwatupa baharini ...................View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.
Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.
1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka 16 ya UFISADI miongoni mwa mashtaka hayo ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. ya dollar billioni 2.5 za Kimarekami !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.
2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.
3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10
Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!
TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili
Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namna gani.
Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????
Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.
Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.
Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana
Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI utaushinda MAPUNGUFU yake.
Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!
Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.
Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.
POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI WALIIFIRISISHA Tanzania kupitia UFISADI.
Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}
Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
i wish niishi mpaka afe namchukia