Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mkuu uko siriaz au unatuactia?

Mambo mengi yapi? Yana mantiki kwa taifa?

Ndege? Kwa biashara ipi sustainable? Ndege unanunua cash kwa jeuri kumkomoa nani? Profits ziko wapi? Umesahabu 100B+ loss ya ATCL kwa hii miaka?

Elimu bure? Au kuivuruga elimu iwe bure kabisa?

Kudhibiti madini? Unless CAG na Bunge waruhusiwe kusimamia na kukagua hiyo sekta haujanishawishi. Hujasoma ripoti ya CAG nini? Mafuta yameingia ila hayajafika kule. Billions lost in revenue. Kile kishika uchumba cha Acacia tulishapewa(baada ya Noah moja kwa kila Mtanzania kushindikana)?

Ati ukuta Mererani nao unauweka kwenye list ya mambo ya msingi yaliyofanywa na serikali.
Mkuu nakuelewa na sifanyi usanii. Sikatai kukosolewa ama kutikubaklliana nami.
Mimi ni mtazamo wangu.
Hata wako nauheshimu na naupenda. Najua nahitaji shairi ndefu sana kukushawishi.
Hata hivyo kitikukubaliana kiungwana ni safi sana.
 
Kwa mtazamo wangu. Mkuu huwapatia watu majukumu yao ya kufanya.Na wakiboronga awateme maana watamharibia.
Hatiwezi kusema ni YEYE ndo amepoteza hiyo hela.

Ila CAG alenge ripoti yake bila kuogopa.
Ni Ofisi IPI ya WAZIRI nani.
Na IDARA ipi inayosimamiwa na nani ili liwe fundisho
Maana kuzungumzia kwa ujumla tunaqweza kumlaumu mtu na si yeye ni wengine.
Ni wewe bro? Sometimes uv got blood running in your veins.

Anyways well said
 
Mkuu Unajua wewe ni poa sana hasa unapochangia ama unapopost UZI.
Kwanza huwa unaniacha wakati mwingine sikifurahi tu ingawa na kamshangao kidogo.
Hata hivyo uko sawa mkuu.
Kilammoja wetu ana damu running in our veins. Hata hivyo kuwa mwoga na usisime kweli si sawa kabisa.
Kumbuka hii ya Mwalimu?
"Nitasema KWELI daima UONGO/FITINA kwangu MWIKO"
Ndo nilivo.
 
Mapya yatoke wapi ndugu???Pesa hazijapotea ila hazijulikani zilipo
KUDOS mkuu.Umesema vyema. "HAZIJULIKANI zilipo"
Mimi nakuunga mkono kuwa basi sasa si TUANZIE hapo hapo?
NANI au kina NANI WANAZO?
Wamezificha wapi?
safi sana. Watapatikana tu.
 
Mkuu Unajua wewe ni poa sana hasa unapochangia ama unapopost UZI.
Kwanza huwa unaniacha wakati mwingine sikifurahi tu ingawa na kamshangao kidogo.
Hata hivyo uko sawa mkuu.
Kilammoja wetu ana damu running in our veins. Hata hivyo kuwa mwoga na usisime kweli si sawa kabisa.
Kumbuka hii ya Mwalimu?
"Nitasema KWELI daima UONGO/FITINA kwangu MWIKO"
Ndo nilivo.
noted mkuu
 
KUDOS mkuu.Umesema vyema. "HAZIJULIKANI zilipo"
Mimi nakuunga mkono kuwa basi sasa si TUANZIE hapo hapo?
NANI au kina NANI WANAZO?
Wamezificha wapi?
safi sana. Watapatikana tu.
Hapo ndipo pakuanzia bunge letu tukufu linatakiwa lihoji pesa zilipo sasa washindwe wao kuhoji
 
Nchini korea kusini,tumeshuhudia Rais wa zamani wa nchi hiyo akikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo jela cha miaka 15 kwa kupokea rushwa!
Kwa nchi hiyo pekee,Lee ni Rais mstaafu wa 4 kuhukumiwa kifungo kwa uhujumu uchumi!
Pia suala kama hilo limeshatokea nchi mbalimbali kwa marais wastaafu na mawaziri wakuu kukutwa na hati kwa makosa ya rushwa na ufisadi!
Kwa mantiki hiyo,Tanzania siyo kisiwa!Ni wakati sasa kwa serikali kupeleka muswada ili kuwe na uwajibikaji!
Nchi za Africa ndizo zinazoongoza duniani kwa kuwa na corrupt government!Hasa ukizingatia ni juzi tu China imesema yenyewe haipaswi kulaumiwa kwa viongozi wa nchi za africa kwa kuwa corrupt kwani wao sio waliowaweka madarakani,hii ilitokana na china kushutumiwa kuzihadaa nchi za Africa na kuwapa mikopo mikubwa isiyolipika kisha kushikilia vitega uchumi vya nchi hizo!

Kwa Muktadha huu,ni vema Rais Mzalendo JPM akachukua hatua ili kuweka misingi ambayo hata akiondoka,kusiwe na Rais atakayedhani anaweza kula rushwa huku akijua ana kinga ya kutoshtakiwa!!!
Wakati ni sasa,badala ya kuhangaika na visheria visivyokuwa na kichwa wala miguu kama sheria ya takwimu,ni vema tukafanya remarkable reforms kwenye sehemu nyeti kama hizo!
 
Serikali ndio yenye watawala waliojiwekea kinga. Ndio huwapa uwezo WA kufanya uyasemayo. Kuweka kisu shingoni mwao utasubiri mpaka yesu aje.
 
Nchini korea kusini,tumeshuhudia Rais wa zamani wa nchi hiyo akikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo jela cha miaka 15 kwa kupokea rushwa!
Kwa nchi hiyo pekee,Lee ni Rais mstaafu wa 4 kuhukumiwa kifungo kwa uhujumu uchumi!
Pia suala kama hilo limeshatokea nchi mbalimbali kwa marais wastaafu na mawaziri wakuu kukutwa na hati kwa makosa ya rushwa na ufisadi!
Kwa mantiki hiyo,Tanzania siyo kisiwa!Ni wakati sasa kwa serikali kupeleka muswada ili kuwe na uwajibikaji!
Nchi za Africa ndizo zinazoongoza duniani kwa kuwa na corrupt government!Hasa ukizingatia ni juzi tu China imesema yenyewe haipaswi kulaumiwa kwa viongozi wa nchi za africa kwa kuwa corrupt kwani wao sio waliowaweka madarakani,hii ilitokana na china kushutumiwa kuzihadaa nchi za Africa na kuwapa mikopo mikubwa isiyolipika kisha kushikilia vitega uchumi vya nchi hizo!

Kwa Muktadha huu,ni vema Rais Mzalendo JPM akachukua hatua ili kuweka misingi ambayo hata akiondoka,kusiwe na Rais atakayedhani anaweza kula rushwa huku akijua ana kinga ya kutoshtakiwa!!!
Wakati ni sasa,badala ya kuhangaika na visheria visivyokuwa na kichwa wala miguu kama sheria ya takwimu,ni vema tukafanya remarkable reforms kwenye sehemu nyeti kama hizo!
Haitoka itokee!!!
 
Back
Top Bottom