Mkuu nakuelewa na sifanyi usanii. Sikatai kukosolewa ama kutikubaklliana nami.Mkuu uko siriaz au unatuactia?
Mambo mengi yapi? Yana mantiki kwa taifa?
Ndege? Kwa biashara ipi sustainable? Ndege unanunua cash kwa jeuri kumkomoa nani? Profits ziko wapi? Umesahabu 100B+ loss ya ATCL kwa hii miaka?
Elimu bure? Au kuivuruga elimu iwe bure kabisa?
Kudhibiti madini? Unless CAG na Bunge waruhusiwe kusimamia na kukagua hiyo sekta haujanishawishi. Hujasoma ripoti ya CAG nini? Mafuta yameingia ila hayajafika kule. Billions lost in revenue. Kile kishika uchumba cha Acacia tulishapewa(baada ya Noah moja kwa kila Mtanzania kushindikana)?
Ati ukuta Mererani nao unauweka kwenye list ya mambo ya msingi yaliyofanywa na serikali.
Mimi ni mtazamo wangu.
Hata wako nauheshimu na naupenda. Najua nahitaji shairi ndefu sana kukushawishi.
Hata hivyo kitikukubaliana kiungwana ni safi sana.