Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mtazamo wangu ni wao kwa umoja wao kuongeza mapambano ya kisheria kudai haki zao (haki zetu) kama wanavyofanya wadau wa matumizi ya mitandao katika kuipinge sheria ya mtandao na kanuni zake.Una mawazo mazuri sana, lakini angalia na wakati tulionao. Wapinzani wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao, wanachokosa ni uungwaji mkono kutoka kwa wananchi, na hili ndio tatizo kubwa sana tulilo nalo.
Unaamini kutoshiriki/kususia uchaguzi ndio njia itakayosaidia kupatikana kwa Tume Huru?Swali zuri sana na lenye jibu chungu.
Mkuu,mimi sioni haja ya wao kuendelea kushiriki uchaguzi ambao kila baada ya matokeo ni kulalamika tu.
Umeongea vema. Nadhani watu waangalie kwanza hali halisi ya kisiasa iliyopo nchini kabla ya kulaumu.kuna mahali unaweza kuwalaumu na kuna mahali ,lazima tuweke uliganifu nao ni oama ifuatavyo:
1) Suala la kisheria kuhusru marekebisho ya katiba na sheria ,mahakana zetu hazina spidi hiyo unaweza anzisha kesi ikaisha uchaguzi mwingine umekwisha.Na hata ukishinra utekelezaji wake utahitaji marekebisho kupelekwa bungeni ;kule bumgeni inakuwaje,wabunge wengi ni wa ccm mabadiriko hayawezi kupatikana bungeni kupitia wabunge wa ccm.
2) Kupitia majukwa naharakati zingine ,uzoefu tumeuona hata mikutano ya ndani nayo n kosa imezuiliwa ,ukifqnya ni kesi ya mkuwanyiko usio halali au uchochezi.
3) Machapisho na mitandao je sheria zilizopo ni rafiki? ukifanya kesi mahakamani kosa la uchochezi.
kuna mahala siasa zatanzania ni taabani
Wewe huku sio dar labda sisi wananchi tuhamueUkiwaambia hivi wanakuwa wakali sana.
Sasa wakae wakijua kuwa 2020 wabunge wa upinzani watakaorudi bungeni ni wale atakaoamua Jiwe.
Jimbo la sugu 'linachukuliwa' na Tulia.
Wewe huku sio dar labda sisi wananchi tuhamue
Unaamini kutoshiriki/kususia uchaguzi ndio njia itakayosaidia kupatikana kwa Tume Huru?
Kuna tatizo kubwa Tz la vyama mamluki, kama tlp ya mrema; na kile cha dovutwa; na vingine vingi vidogvidogo. Usishangae vikashiriki uchaguzi na kushindishwa katika baadhi ya maeneo.Wana JF,
Huu ni ushauri wa bure kwa Upinzani Tanzania.
Kwamba hapa tulipofikia kwa sasa hakuna haja tena ya kuweka wagombea kwenye chaguzi zote zinazokuja kuanzia hizi za marudio, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020
Sababu iko wazi kabisa kuwa kwa sasa hakuna kiti cha UDIWANI, UBUNGE au URAIS ambao upinzani wanaweza kushinda kwa mazingira tuliyo nayo. Uchaguzi mdogo uliopita juzi iwe ni benchmark, kwamba viti 77 Udiwani na 1 Ubunge CCM wameshinda kwa 100% kwa mbinu chafu. Nashauri Wapinzani warudi kwenye sanduku la kura pale tu Magufuli, CCM na Serikali yake watakapokubali kufanya mabadiliko ya Kikatiba kuhusu sheria ya Uchaguzi inayohusu TUME HURU YA UCHAGUZI kwa kuondoa WAKURUGENZI kuwa wasimamizi wa Uchaguzi na kuhoji Matokeo ya Urais Mahakamani.
Kinachotakiwa kwa sasa ni kuweka mkazo na msisitizo wa kubadili Katiba kwa kutumia media na Jumuia za Kimataifa kwa kuelezea bayana kwamba Tanzania hakuna Demokrasia tena na CCM wanatawala kibabe. Viongozi wa Upinzani nendeni kwenye Jumuia na Mataifa ya nje kuelezea hali halisi ilivyo Tanzania, vinginevyo mtaendelea kutwanga maji kwenye kinu huku CCM wakiendelea kutawala milele na milele!!!
Hilo hawawezi kulifanya kamwe kwani Mbowe anahitaji ruzuku yetu kuliko chochote Dunia hii, hivyo wataendelea tu kuwazuga na kuwadanganya lkn ukweli ni kwamba Mbowe na Uongozi Mkuu wa chadema haujali chochote isipokuwa ruzuku yetu tu, na ndiyo maana pmj na malalamiko yao yote hawawezi kususia uchaguzi kwani Tume yetu pia haitawapa ruzuku yetu!
Kuvuja kwa pakacha........, na bado, maji mtayaita mmah !Wana JF,