Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

Acha wasuse waone
 
watu waingie mitaani kudai katiba mpya...wauwane ndio muafaka utapatikana...
 
Hivi huyo Mbowe atapataje ruzuku bila kuwa na uwakilishi wa madiwani na wabunge? Unajua criteria ya kupata ruzuku? Ku comment bila uelewa ni kujidhalilisha
 
Dawa sio kuzira,washiriki tu,kwa kuwa no uchaguzi mkubwa,kina nape,mnyeti,etc hawawezi kujigawa nchi nzima,wataambulia baadhi,muhimu sasa wajkite kufanya siasa za media,utube etc,waache mambo ya maandamano,mikutano ya hadhara etc,in short wawaachie ccm uwanja ili wananchi wenyewe wajudge performance yao,
Then ikibaki miezi 6,wanaibuka kwa speed ya jeti na mascandali kibao kama yapo,
Ila kwa sasa wajikite kwa siasa za taratibu ili wasiwe exposed kwenye hatari za kufungwa etc,
Na ikibidi wahamie ccm kwa maelfu na waunge mkono juhudi za rais,etc
 
Nimeshangaa kuona huyu mkurugenzi wa Buyungu aliyeteuliwa jana, Mwalimu Masumbuko, ni jamaa aliyewahi kugombea uenyekiti wa ccm (wilaya) kule chato, yaani amebobea ukijani hasa! halafu ndiye aje kuwa msimamizi wa uchaguzi huku Buyungu, tutegemee nini?
 
Hivi huyo Mbowe atapataje ruzuku bila kuwa na uwakilishi wa madiwani na wabunge? Unajua criteria ya kupata ruzuku? Ku comment bila uelewa ni kujidhalilisha
Vilevile wajiandae kufanya downsizing,kwani ruzuku inaweza kupungua
 


Kama wakisusia uchaguzi sidhani kama Serikali yetu itaendelea kumpa Mbowe fedha yetu, hivyo Mbowe &Co. hawawezi kukubali kususia uchaguzi vinginevyo wangeshafanya hivyo tangia zamani kwani haya malalamiko hayajaanza leo!
 
Wasalaam, vyama vya upinzani ni wakati sasa wa kudai tume huru vinginevyo hakuna mbunge atakae rudi 2020. Haya ni maono yangu muda ni rafiki utaongea
 
Limekuwa ni jambo LA kawaida tume kuihujumu chadema wakishirikiana na police.Mwisho was siku chadema mnabaki kulialia kwenye vyombo vya habari bila kuchukua hatua.
Nikiwa mmoja wa mtanzania nayetamani uchaguzi huru na wa haki natangaza Leo sitapiga kura kwenye serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020 kama chadema msipofanya maamuzi magumu ili tupate tume huru.
Precious
Mwanza Tanzania
 
Reactions: Gut
Kweli kabisa mkuu
 
Heshima Kwenu,

Katika chaguzi karibu zote za marudio au chaguzi ndogo, CCM na wagombea wake (has a wanaomuunga mkono rais)hutamba kwa kujiamini kuwa lazima ashinde na kweli anashinda kwa 'kishindo'.

Malalamiko yote ya opposition hasa CHADEMA huishia hewani. Si Tume ya Uchaguzi wala polisi wanaojishughulisha na yanayotokea, iwe kukatwa mapanga wasimamizi au gari kutobolewa tairi kwa risasi. Nani atajali magaidi wakipewa wanachostahili?Hawana haki nchi hii.
 
Umefanya kazi nzuri kutukana upinzani. Weka contacts zako wakubwa wakujue wakubebe
 
Chadema waliachana na siasa na kujikita kwenye ujasiliamali wa siasa pamoja na utetezi wa mafisadi sasa matokeo ya msimamo wao ndio yanayowaumiza leo hii.
 
Nyie makamanda mnachosha na vijimaneno vyenu vya mtandaoni.
 
Siku haya mambo yakigeuka asilaumiwe yeyote .
 
Chadema waliachana na siasa na kujikita kwenye ujasiliamali wa siasa pamoja na utetezi wa mafisadi sasa matokeo ya msimamo wao ndio yanayowaumiza leo hii.
Unaandika uongo ambao utakugharimu muda mfupi sana ujao , asilaumiwe mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…