Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

Hata kuwe na Tume Huru hawana Wagombea zaidi ya kuokoteza makapi ya CCM!!
 
Mkuu wkt mwingine kauli ya JPM ya wazee ndo wametufikisha hapa, huwa INA mashiko!
 
Chai ya ikulu tamu wewe. Hebu muone Prof. alivyo makini utafikiri hajawahi kunywa chai maishani. Badala ya kusubiri mwenyeji aionje kwanza ili kuhakikisha haina sumu, wenyewe hata wafe sawa tu.
Namuona huyo anaekoroga hapo begi lake alilokuwa kalivaa mgongoni kalitupa chini ili apate kuisikilizia chai ya ikulu bila usumbufu...
 
Mzee Kingunge Kudos... Mwili tu ndo umechoka lakini akili ni ya ujana yenye fikra mtambuka .... Itoshe kusema kuwa Ballot box siyo njia ya kuwapeleka viongozi madarakani kwa sasa ... Zanzibar tumeona ....
 
Kinguge na Lowasa mmeshiriki kufilisi nchi ni bora mkae kimya kupisha wengine.
Wamejenga uwanja wa ndege Chato? wamejigawia nyumba za serikali? wameitia hasara serikali kiasi gani ukilinganisha na hasara alizoitia nchi huyu mhe sana ?.... Nenda shule ...
 
CCM wenzangu angalieni, fanyeni tafiti kujua ktk vijana wenye age ya 13, 14, 15, 16 na 17 kwa asilimia wangapi wanaunga mkono CCM na wangapi wako upinzani. Mwaka 2020 ndio wataamua nani awe rais wa Tanzania.
Hata sisi tulikuwa kwa age hiyo na vimitazamo vya ukawa ila inafika sehem unaona kwa usahihi, ndo maana ni muhimu NEC ikawa na back up, tusije tukajikuta tunachaguliwa raisi na minors.
 
Mkuu asante, changamoto kubwa ambayo ipo, haitowezekana kupata watu wenye sifa hzo, na ikitokea tutakuwa hatuna rais maaana itakuwa tunashinda mahakamani,

Kama ni tume basi ni vyema tusiwe kabisa na kitu kinachoitwa tume, tuwe na idara ya usimamizi Wa uchaguzi zenye mamlaka kamili kwenye wilaya ili matokeo yakitoka yatangazwe huko, na iwepo center ya kujumuisha matokeo... Vinginevyo... Hakuna kitakachofanyika...

Tume in njia ya kutokuwa na Uhuru Wa kuchagua kile unachokipenda, chunguza nchi za Uhuru Wa Democratic hawana hizo mambo


Think
 
Huyu mzee si alikuwa kwenye bunge la katiba, wanazingua, waongee wengine si hawa
... Ni kweli alikuwa mjumbe wa BMK kutoka kundi la waganga wa kienyeji. Mchango wake Nakumbuka haukusaidia kupata Katiba yenye kuzingatia maoni ya wananchi. Hata hivyo hiki alichokisema leo ndiyo ukweli halisi na Natumaini atakuwa anajutia kutoitumia vizuri fursa ile aliyoipata kwenye lile bunge...
 
Better vote because if you don't vote is the worst decision, sensitise as many people as possible to vote
No free and fair election in africa except Ghana! I will never vote again without free and fair election comitee…
 

Ndiyo huyo alishwanda kutuachia katiba nzuri
 
Sasa hayo yote mawili si yaliwekwa kwenye katiba mpya iliyopendekezwa lakini wao UKAWA wakaikata katakata wakidai katiba ya Waryoba tu kwa sababu ina serikali tatu ambazo Maalim Seif ndilo lilikuwa priority yake. Kweli majuto mjukuu. Sasa hakuna cha katiba mpya wala nini maana si priority tena kwa hapa kazi tu.
 
Hapo kwenye mfia chama umekosea. Tena umekosea sana.
 
Comrade yuko sawa kabisa ila anamsha hisia zilizolala, yaani mara hii amesahau nguvu waliyoitumia kuhujumu ile rasimu ya katiba ya Warioba ambayo ilikuwa na hicho anachokisema tume huru, hawa watu wanatufanya watanzania kama hatuna uwezo wa kufikiri vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…