Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa!!!aisee hii serikali ishaziba masikio nahawezi kubadilika kamwe kwani usizani hayo yanatendeka kwa kutokujua wanajua kabisa kilakitu nimakusudi ili kuitete ccm.Kama mwananchi wa kawaida baada ya kuona yaliopitikana katika kipindi hiki kifupi naomba kutoa ushauri kwa mh. rais na Tume ya uchaguzi.
1.Nikirefer report ya jukwaa la katiba walioitoa baada ya uchaguzi wa kata 43. mojawapo ni suala LA mawakala na namna wasumamizi wanavyohujumu uchaguzi kupitia wasimami.
ushauri: NEC wabadilishe mfumo wa. kutumia wakurugenzi katika suala LA kutoa viapo kwani imedhihiri wakati wa kata 43 watu walijeruhiwa, Leo yametokea mauaji suala likiwa hilohilo.
NEC msizibe masikio hii sio sawa, km mnataka Tanzania ya amani na upendo msipuuzie kadhia hii.
2. Nakuomba mheshimiwa rais kuchukua ushauri uliotolewa na maaskofu katoliki.
ni wazi kila siku tunaambiwa umefanya mambo makubwa na km ni kweli hakuna haja ya kubana ama kuzuia wapinzani kwa chochote, action speaks louder than words. waache waseme kwan wananchi wanaelewa mambo yakopoa yan ni mdebwedo ila mkizuia na kuwabana wengine wataamini hakuna kinachofanyika, so inabidi wazuiwe wasije mwaga upupu.
Kwako Mh rais na NEC damu ya Aquilina ifungue pazia mpya kuunda tume huru ya uchaguzi.
mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi.
Tutoe ushauri kwa lugha ya heshima na tusitukane
nan kakobe, VP vipimo vya mkojo vishatoka?Akatubu tu!!!! Nimeanza kuamini kauli ya Mchugaji
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwani walimpima? Hii mambo Lissu si alikomeshanan kakobe, VP vipimo vya mkojo vishatoka?
Vyama vingi vinajifuta vyenyewe hakuna anayevifuta!Unataka chadema wapiganie
Tume huru ili iwejeee hapa tulipofikia panatoshaaa.
Tunachoomba vyama vingi vifutweeeee
Waliwahi lini?!......ile ya kwenye katiba mpya ilikuwa ni kazi ya kina Polepole siyo wapinzani. Nadhani kuna kitu kinaogopwa na wapinzani kuhusu Tume huru ya uchaguzi!sio kweli, jamaa waliwahi na wanalizungumziaga eneo hili, na bila katiba mpya wameona hawaliwezi eneo hili, na katiba mpya ndio suluhisho ya tume huru ya uchaguzi!
Vinamaliza kodi zetu bure tu!Sawa hata mimi nashauli vifutwe kuni vitatuletea balaa
Teh, hapana! tena hakuna kitu wanaogopa! wee unadhani wanaogopa nini!?Waliwahi lini?!......ile ya kwenye katiba mpya ilikuwa ni kazi ya kina Polepole siyo wapinzani. Nadhani kuna kitu kinaogopwa na wapinzani kuhusu Tume huru ya uchaguzi!