rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
napenda kumtumia salamu maalum Mh Mbowe,Mbatia,Zitto,Lema,Halima Mdee,Sugu, nk,na wote wahusika,nina imani wote ni wazima na mnaendelea vema na shughuli zenu za kisiasa,
dhumuni la waraka huu ni kuwapa taarifa ya kwamba itakuwa ni muujiza wa aina yake kwenu nyie kurudi Bungeni 2020,
mmekuwa mstari wa mbele kumkosoa Rais na ccm kwa mambo wanayofanya huku mkisahau jambo la muhimu kuliko yote ambalo litawafanya au kusaidia kuwarudisha bungeni miaka miwili ijayo,
kuna haja gani ya kuendelea kupambana na serikali NA KUIPINGA kwenye mambo yasiyo ya muhimu kama ndege na reli NA kusahau kipau mbele kwa sasa
Waheshimiwa kama nilivyosema hapo juu nyie wote hakuna anayerudi Bungeni hiyo nawaambia wazi ipo na inaeleweka,
balozi wa Marekani ataletwa ambaye keshajua nini kinaendelea Tanzania,kazi kwenu kujipanga jinsi ya kupresent issue zenu sio kienyeji,anategemea kukuta very smart politician with smart strategy kazi mnayo kwa kweli,
kwa mtazamo wangu mnayofanya tumeona matokeo yake kule Kinondoni na maeneo mengine uchaguzi ulikorudiwa,Leo hii polepole yuko jimbo la Hai kule demokrasia ilikozaliwa na anachofanya kule kila mtu anashuhudia na kujionea,hakuna haja ya kuendelea kupambana na Rais na ccm kwa sasa kuna haja ya kukaa na kuangalia plan B,
plan A imeshindikana na haiwezekani na haitakaa iwezekani ndugu zangu ebu badilisheni plan tuone nini kitatokea,
inahitajika sana tume huru ya uchuguzi kama mnataka tushinde na tuwarudishe bungeni miezi 24 ijayo
kuna haja basi ya kupambana sasa hivi japo kumekucha tayari tupate tume huru ya uchaguzi,
fanyeni juu chini tafuteni ushauri kwenye mashirika ya kimataifa pambaneni kiume tupate tume huru ya uchaguzi,elekezeni nguvu zote huko sahau mambo ya kupingana na Rais haisaidii wala haitasaidia kwa lolote bora tuangalie mbele sasa manake tunayofanya yameshindikana,
bora muungane wote mpaze sauti mataifa yote duniani yasikie kilio hicho Magufuli anaweza kuona aibu kukubali tume huru ya uchaguzi iundwe,
bora kuacha yote na kuelekeza nguvu zote kwenye hilo manake 2020 hiyo itafika hamna katiba mpya hamna tume huru ya uchaguzi imekula kwetu na nchi nzima na demokrasia kwaheri,
nimewaza sana sioni mtashindaje wala haiwezekani makamanda,plan b iwekwe mezani sasa tuanze kuifanyia kazi,kumbukeni Trump keshaombwa kuleta balozi ambaye atakubali kufanya kazi na sisi kama kuna plan mezani