East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Mzee kingunge anajua taratibu za kuweka kiongozi wa kuwa Raisi.Mojawapo ya taratibu ni kuwa kiongozi lazima apate ridhaa ya baraza la wachawi wa utawala linalohusisha wazee walio hai na waliokufa wanaohusika na utawala wa nchi la Sogotimko linalokaa kikao chake kule Maghadeshi.Baraza hilo lilifanya kikao chake tarehe 30 may 2015 na nilitoa taarifa rasmi hapa jamii forums ya kikao hicho. Wakati mchakato unaanza mimi nilikuwa mmojawapo niliyehudhuria kama mwanafunzi (trainee) wa uchawi wa utawala.Wazee wote walikuwepo kasoro wawakilishi wa raisi aliyeko madarakani (Kikwete) walio hai na waliokufa.
Kuna mjumbe alimwuliza Kingunge mwakilishi wa Kikwete ambaye ndie mkabidhi nchi yuko wapi mbona hapa kwenye baraza haonekani? Kingunge akasema hamda haja kikao kiendelee.Mwenyekiti akasema lakini si utaratibu kwa sababu swala si wengi wanasema nani apewe swala ni kuwa lazima baraza zima la Sogotimko likubaliane kwani kwenye baraza la uchawi wa utawala mjumbe mmoja aweza kwamisha mgombea asipite.Kingunge akasema hamna haja akiwa anajiamini na waganga wake koko aliookoteza barabarani.
Walipoulizwa kundi zima wanasemaje wakasema sawa Lowasa apewe na mimi nilitoa taarifa ndani ya jamii forums tarehe 1 june 2015 kuhusu kuteuliwa kwa Lowasa na baraza la sogotimko kule maghadeshi.Moderator alifuta kabisa ile taarifa niliyotoa kwa umma muda mfupi tu baada ya kuitoa.
Dharau ya Kingunge kwa wawakilishi wa Kikwete imesababisha yote hayo.Ninaweza sema wazi kuwa Kingunge na kelele zote ndiye aliyechangia pakubwa kumwangusha Lowassa kwa ushauri mbovu na kutolipeleka swala hilo vizuri kwenye baraza la utawala kule Maghadeshi.