Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Umemtaja Ngombale Mwiru, ambaye ni baba yake. Sidhani hata kama walikuwa na undugu na Kinjekitile OG. Labda kama unataka kuhesabu generations.
Kingunge ngombale mwiru aliyefariki 2019 mmakuwa ana uhusiano na Kinjikitile ngwale the leader of south thern tribes including makuwa tribe
 
Yuko sahihi
 
Kama ni ya moyoni Yuko vizuri sana!
 
Kwa age yake hakuna wa kumpenda bila pesa😹😹
 
Wanaume wanaoa sababu ya makalio wako wachache sana, ndio maana majority ya wadada wenye shape ni nyumba ndogo. Sometimes usiwalaumu watu jievaluate ww mwenyewe, evaluate your body counts, tabia yako. Kushinda kanisani hakukufanyi kuwa unatabia njema.
 
Kwa umri wake lazima apendewe pesa hakuna namna
Kujilinda ni haki yake akiteleza anapoteza Kila kitu
si wazee tu hata vijana, uwe mrefu, mfupi, handsome, msomi, unapigwa tukio la kukufanya uwe masikini, yeye anasonga mbele to the next victim
 
Wengine mashoga, wana gubu na madhaifu mengine wanayotafutia sababu kuyakimbia kwa kuwatwisha lawama wanawake. Kama wanaume hatuna tamaa, ni wapi wanaongoza kwa ujambazi ,ufisadi, wizi, na kila ghasia duniani kama siyo wanaume?
Kabisaa. Huyu anasikika kwa tabia hizo hizo ndio maana wanawake wanamshindwa. Soon atajiachia tu waziwazi. Sasa bado anajificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…