Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mock gani hiyo kwa mfano mtu wa kwenye gari mmojawapo angekuwa na chuma huyo jamaa si angeuliwa.. maana anatembea na silaha kizembe
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic
Inadaiwa Polisi Wamenyang'anywa Bunduki mbili SMG na Kumiminiwa risasi😭
View attachment 1907510
View attachment 1907511
View attachment 1907519
Hii ni developing news…
Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
Ni haki yako kuwaza uwazavyoWewe utakuwa mmoja wao. Umemwona mwenzako amepata moja tu ya kifua sasa hivi yuko jehanamu!
.Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic
Inadaiwa Polisi Wamenyang'anywa Bunduki mbili SMG na Kumiminiwa risasi[emoji24]
View attachment 1907510
View attachment 1907511
View attachment 1907519
Hii ni developing news…
Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
😳Hizo sijaziona. Na kama ni hivyo, mafunzo yake ni yachini sanakuna video yupo kwenye kibanda cha police vile barabarani anarushiana risasi na police, huku kwenye magroup kuna video nyingi sana
Hayajawahi kukukuta mkuu usiombe. Kuna jamaa yangu alishawahi kushuka kwenye gari akatimua na miguuMbona kwenye bajaji hamna mtu? Imefikaje fikaje hapo bila mtu[emoji3]
pale hamna u-sniper wowote, yani mtu kasimama mwenyewe ktkt ya barabara ananyoosha mkono juu apigweHuyu hata mtu asiye na mafunzo angepewa bunduki angemuua. Mhalifu gani anatembea huku akifyatua risasi hovyo hovyo tena anajiweka kabisa kuwa target?
Aliokuwa na mawasaliano nao sana watapata tabu sanaKumuua ni kupoteza ushahidi wote kabisa
Huu siyo ugaidi bali ujambazi!huo sasa ndo ugaidi wenyewe. maana kila siku mnautamka mnatungia hadi watu kesi za uongo. askari wanakunyakunya tu hapo nyuma ya nondo.
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?
Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic
Inadaiwa Polisi Wamenyang'anywa Bunduki mbili SMG na Kumiminiwa risasi😭
View attachment 1907510
View attachment 1907511
View attachment 1907519
Hii ni developing news…
Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
Jeshi letu la hovyo sana. Hawawazi mbali hata kidogo.Wangemkamata take wenzako!
Lazima ushtakiwe maana kuna uwezekano ni mwenzako mmpenga jambo pamoja na umemuua kupoteza ushahidi.Hivi kama mimi sio polisi nikawa na pistol yangu hapo nikamlenga nkaua ntashtakiwa.
Kama TalibanTunasubiri habari kamili.