Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kweli kabisa Mkuu, nakuunga mkono.
 
Kukomelea vikorombwezo vya Kiamerika hakukufanyi kuwa muamerika yakhe!

Makunduchi, chatto, Msoga, hata Nanyumbu kote huko Tanzania yakhe.

Tanzania itajengwa na wenye moyo.

Kuwa na amani yakhe!
Utachekwa na wanaonijua humu ndani....🤣🤣

Endelea kuninasibisha tu na "uwapendao"....

Karibu "Mwakakogwa" Makunduchi......
 
Wamefika Polisi Watatu na Mlinzi wa SGA 1 jumla wamefariki watu wanne. Wamedhuliwa na huyo kwa maoni yaangu ni Gaidi kwasababu ya Vitendo vyake. Four people have perished.
 
Inavoonekana Ni kitambulisho Cha mtandaoni Kama vile vya nida.

Ila format yake haiko Kama ya nida.

Tunapaswa tujue Ni taasisi gani inatoa I'd zenye maelezo Kama hayo

Hii ID haijulikani nafikiri sio ya kuiamini kwa sasa.
 
Bro
Mkuu nimeangalia video ya yule askari aliyeuwa kuna makosa mengi kayafanya utafikiri hana mafunzo kabisa
Kusema n rahisi sana ila kiuhalisia silaha ukijua imekuelekea wewe na wakat wowote itafyatuliwa risasi kukuelekea wewe hutofkiri ka ufkirivyo mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…