Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Nchi inahitaji watu wengi kama hawa ili tuheshimiane. Watanzania asilia tu waoga sana. Wizi wa kura, kubambikiziwa makosa, kutoweka, utekaji, mauaji, tozo, nk... lakini tuko kimya tu. Ingekuwa nchi nyingine kingekuwa kimenuka. Damu ya kisomali inahitajika Tanzania.
Kweli kabisa Mkuu, nakuunga mkono.
 
Kukomelea vikorombwezo vya Kiamerika hakukufanyi kuwa muamerika yakhe!

Makunduchi, chatto, Msoga, hata Nanyumbu kote huko Tanzania yakhe.

Tanzania itajengwa na wenye moyo.

Kuwa na amani yakhe!
Utachekwa na wanaonijua humu ndani....🤣🤣

Endelea kuninasibisha tu na "uwapendao"....

Karibu "Mwakakogwa" Makunduchi......
 
Majira ya leo mchana IGP Simon Sirro amesema kwenye majibizano ya Risasi aliyokuwa yakiendelea Dar es salaam kati ya police na Raia mmoja asiyejulikana.

Police wawili wamepoteza maisha kwenye majibizano pamoja na mtu huyo aliyekuwa akijibizana Risasi na police nae kauwawa mwenye asili ya Kisomalia.
Wamefika Polisi Watatu na Mlinzi wa SGA 1 jumla wamefariki watu wanne. Wamedhuliwa na huyo kwa maoni yaangu ni Gaidi kwasababu ya Vitendo vyake. Four people have perished.
 
Inavoonekana Ni kitambulisho Cha mtandaoni Kama vile vya nida.

Ila format yake haiko Kama ya nida.

Tunapaswa tujue Ni taasisi gani inatoa I'd zenye maelezo Kama hayo

Hii ID haijulikani nafikiri sio ya kuiamini kwa sasa.
 
Mnafadhiri ugaidi, hahahahaha. Mtaenda kuungana na Mshua kule shimoni.
Tengua kauli mkuu
IMG_20210812_122515.jpg
 
Bro
Mkuu nimeangalia video ya yule askari aliyeuwa kuna makosa mengi kayafanya utafikiri hana mafunzo kabisa
Kusema n rahisi sana ila kiuhalisia silaha ukijua imekuelekea wewe na wakat wowote itafyatuliwa risasi kukuelekea wewe hutofkiri ka ufkirivyo mkuuu
 
Back
Top Bottom