Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kweli kabisa Mkuu, nakuunga mkono.Nchi inahitaji watu wengi kama hawa ili tuheshimiane. Watanzania asilia tu waoga sana. Wizi wa kura, kubambikiziwa makosa, kutoweka, utekaji, mauaji, tozo, nk... lakini tuko kimya tu. Ingekuwa nchi nyingine kingekuwa kimenuka. Damu ya kisomali inahitajika Tanzania.