Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Tumeona leo wasivyokuwa na shabaha. Eti wanamalizia hasira zao kwenye maiti. Mtu (mwana CCM mwenzao/mjumbe) amesimama kweupe katikati ya barabara wao wanapiga risasi za Jamhuri hewani. Wanatakiwa washitakiwe na Watanzania kwa uharibifu wa risasi.
Si ujitokeze na wewe wakupe ya kichwa!
 
Duuuh.....
 
Habari wadau!

Najaribu kujenga dot za huyu jamaa na swala la ugaidi.

1. Kwa uzoefu wangu kutoka kwenye movies magaidi lazima anaposhambulia aseme neno "Mungu mkubwa" yaani "Allah Akbar" kama huyu jamaa alitumia maneno hayo bila shaka ni gaidi wala sio jambazi. Shuhuda wa kike mama aliyehojiwa anasema jamaa alikuwa anasema Allah Akbar pindi anapomimina risasi hata wakati anakufa alisema Allah Akbar hao ndio magaidi walivyo, ndio maana wazungu wakipanda ndege au gari wakisikia tu maneno hayo kwa mmoja wa abiria waliopanda nao gari au ndege moja lazima mzungu achumpe akimbie.

2. Kwanini alienda ubalozi wa Ufaransa??Hapa turejee kisa cha yale yanayotokea Msumbiji juzi na ile kampuni ya uchimbaji ya Kifaransa yaani Total

3. Kwa nn serikali ilimoiga risasi mpaka kufa wakati walikuwa na uwezo wa kumzibiti??Gaidi haitaji kudhibitiwa maana ni mtu skilled na kashajitolea kifo.

4. Magaidi wana mtandao kila nchi na wanafanya recruitment hivyo usishangae anaweza akawa mkazi wa Kinindoni lakini akawa amejiunga kwenye kundi la ugaidi miaka mingi tu ila alikuwa anangoja mission labda mission ilikuwa kufikisha ujumbe fulani.

5. Tukio linaonyesha limekuwa planned yaani "Dar ipo Salaama mara pah pah pah".

USHAURI

Tusitafute mchawi nani tujipange.
 
Najiuliza kwa nini hili tukio limetokea sasa,why now??je ni reaction kwa mambo yanayotokea nchini..au ni mwanzo wa makubwa yanayokuja??and...kwa nin polisi wauwawe zaidi..na muuaji alikuwa na nafasi kubwa ya kuua au kujeruhi raia wa kawaida wengi tuu..
 
Nina uhuru wa kuwaza , sivyo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…