Igp amechoka apumzike tu maana ma police wanazulumu sans raia sasa na Hamza kashaweka predencent ya watu kuiga na kunyoosha mapolisi matapeli wanazulumu watuJeshi la polisi wasibebane ktk hili inaonekana huyu Bwana kafanyiwa dhuluma na polisi ndio maana hakuwa na shida la Raia Bali polisi ili kulipiza kisasi. Ni polisi akina Nani hao wamemfanyia dhuruma?....
Kama huyu jamaa alikuwa gaidi maana yake wanachama wa CCM ni magaidiWamefika Polisi Watatu na Mlinzi wa SGA 1 jumla wamefariki watu wanne. Wamedhuliwa na huyo kwa maoni yaangu ni Gaidi kwasababu ya Vitendo vyake. Four people have perished.
Ni mwanachama wa CCM sio gaidiHuyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua Askari Watatu na Mlinzi Mmoja wa SGA (kampuni ya Ulinzi).
Ninachomaanisha ni kwamba mifumo ya kudai haki inapooza watu hugeuka kuwa polisi na mahakama kwa sababu hawana mahali pa kwenda kudai haki zao.Mbona nawe huja dai hak zako kwa namna hyooo? Usitaki niaminisha katka upande wa uovuni
Mungu atungulize haki mbele. Jeshi la polisi ni muhimu sana kwa usalama wa raia na mali zao. ILA ndani yao kuna baadhi wanakosa weledi na wanatumia nafasi kwa masilahi binafsi.
Binafsi sipendi kudhulumiwa, mbaya zaidi unadhulumiwa waziwazi. Ikiwa kweli kuna dhuluma, basi jeshi lijitathimini na kuua mtandao wa polisi dhulumati
Naona call ya kawaida hapatikani ngoja nimpigie Bluetooth.Mpigie huyu mwenye namba hii 0715132277 ni rafiki yake Hamza atakupa habari zake zote
Huyo jamaa huwa ni mpagani tena pure.
Muwe munatumia akili basi ujue hao walio poteza maisha wana ndugu ama familia.Nadhani angewashusha wengi ingependeza zaidi
Kwa kukushangaza zaidi ni kwamba nying wakati na-comment kuwa jamaa angewabanika polisi wengi zaidi,na kwa taarifa zaidi ningekuwa na ndugu polisi ningekuwa nimeshavunja undugu naye siku ile tu ya kwanza makalio yake yalipo maliza mafunzo ccp moshiMuwe munatumia akili basi ujue hao walio poteza maisha wana ndugu ama familia.
Angekuwa ndugu yako polisi kafanyiwa hivyo ungefurahi au mnaropoka tu.
Magaidi nao Wana ji adjust ka kirusi tu Cha corona kina variant sembuse wahalifu
Amani ya bwana iwe naweKwa kukushangaza zaidi ni kwamba nilitumia akili mpaka za ziada wakati na-comment na kwa taarifa zaidi ningekuwa na ndugu polisi ningekuwa nimeshavunja undugu naye siku ile tu ya kwanza makalio yake yalipo maliza mafunzo ccp
Ccm hawa wa mbele kwa mbele mkuu au ccm wengine
Katika tuhuma zinazosambaa mitandaoni ni kua Jamaa kadhulumiwa na hao hao uliowataka wafanye Uchunguzi. Anyway, ngoja tuone
Walijuaje kuwa kadhulumiwa wakati ameshafariki,nani aliwasimulia?
Siyo kweli kuwa alikuwa akifyatua risasi hovyo; alikuwa organized katika shughuli yakeMtu mwenye Bunduki aliekua akifyetua risasi ovyo
Huyu hamza ni proffesional mkuu,ameweza kuangusha askari watatu na mlinziSiyo kweli kuwa alikuwa akifyatua risasi hovyo; alikuwa organized katika shughuli yake