Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Jeshi la polisi wasibebane ktk hili inaonekana huyu Bwana kafanyiwa dhuluma na polisi ndio maana hakuwa na shida la Raia Bali polisi ili kulipiza kisasi. Ni polisi akina Nani hao wamemfanyia dhuruma?....
Igp amechoka apumzike tu maana ma police wanazulumu sans raia sasa na Hamza kashaweka predencent ya watu kuiga na kunyoosha mapolisi matapeli wanazulumu watu
 
Huyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua Askari Watatu na Mlinzi Mmoja wa SGA (kampuni ya Ulinzi).
Ni mwanachama wa CCM sio gaidi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbona nawe huja dai hak zako kwa namna hyooo? Usitaki niaminisha katka upande wa uovuni
Ninachomaanisha ni kwamba mifumo ya kudai haki inapooza watu hugeuka kuwa polisi na mahakama kwa sababu hawana mahali pa kwenda kudai haki zao.

Kama wewe ni mtu wa haki anza kwa kupigania mifumo ya kudai haki na wala siyo kuanza kwa kulaumu watu ambao hawana pa kwenda pale wanapoporwa haki zao.
 
Mungu atungulize haki mbele. Jeshi la polisi ni muhimu sana kwa usalama wa raia na mali zao. ILA ndani yao kuna baadhi wanakosa weledi na wanatumia nafasi kwa masilahi binafsi.

Binafsi sipendi kudhulumiwa, mbaya zaidi unadhulumiwa waziwazi. Ikiwa kweli kuna dhuluma, basi jeshi lijitathimini na kuua mtandao wa polisi dhulumati

Dhuluma inaanzia kwa viongozi wakuu hasa IGP. Huku chini wanafuata maagizo tu ya wakubwa wao, na wakati huo huo wanajiongeza.
 
hivi hakuna hata ndugu mmoja aliyepata taarifa akaenda kujarib kufanya jambo pale yamkini asingeuwawa
 
Nadhani angewashusha wengi ingependeza zaidi
Muwe munatumia akili basi ujue hao walio poteza maisha wana ndugu ama familia.
Angekuwa ndugu yako polisi kafanyiwa hivyo ungefurahi au mnaropoka tu.
 
Mama mwenye nchi yake amejua haya sasa.

Haya na ule msafara uliogeuza alikuwa nani, raia wema waliwaambia rudini huko kuna majambaz,
 
Muwe munatumia akili basi ujue hao walio poteza maisha wana ndugu ama familia.
Angekuwa ndugu yako polisi kafanyiwa hivyo ungefurahi au mnaropoka tu.
Kwa kukushangaza zaidi ni kwamba nying wakati na-comment kuwa jamaa angewabanika polisi wengi zaidi,na kwa taarifa zaidi ningekuwa na ndugu polisi ningekuwa nimeshavunja undugu naye siku ile tu ya kwanza makalio yake yalipo maliza mafunzo ccp moshi
 
Kwa kukushangaza zaidi ni kwamba nilitumia akili mpaka za ziada wakati na-comment na kwa taarifa zaidi ningekuwa na ndugu polisi ningekuwa nimeshavunja undugu naye siku ile tu ya kwanza makalio yake yalipo maliza mafunzo ccp
Amani ya bwana iwe nawe
 
Back
Top Bottom