Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

Watu hawajaambiwa wabaki majumbani, bali wanashauriwa kubaki majumbani. Kuna tofauti ya Katazo, na kuhimizwa kubaki majumbani. Kupiga wanaume wanapokula hela zao ni uhuni kama uhuni mwingine.
Kwani huwezi kula pesa yako ukiwa nyumbani
 
Akihojiwa mwishoni ikiwa watu watakaa level seat na kwa umbali hakuna tatizo waenjoy
Watu hawajaambiwa wabaki majumbani, bali wanashauriwa kubaki majumbani. Kuna tofauti ya Katazo, na kuhimizwa kubaki majumbani. Kupiga wanaume wanapokula hela zao ni uhuni kama uhuni mwingine.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Tena walitakiwa kula rungu zakutosha!!! hatuwezi kuponzwa na wajinga wachache.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ni kweli, ila sio sahihi kumchapa mtu wakati hakuna Katazo. Ni vyema wakaweka Katazo kisha watu wakikiuka ndio adhabu zitolewe, tena sio kwa kupigwa na polisi huko mabar, bali kufunguliwa mashitaka.
Kazi ya polisi ni kutii maagizo na sio kureasoning
 
Toeni Tamko kufunga bar zote nchi nzima...haya mambo ya kuchapana fimbo ni ya ki analogy sana!!

Mambo ya karne ya 7 mnayaleta leo aibu
 
Tatizo ni kwamba serikali bado haijakubali kwamba uchumi ni lazima utaporomoka kipindi hiki. Hivyo hawapo tayari kutoa tamko la kufunga bar zote, maana breweries walipa kodi wakubwa itabidi wafunge viwanda. Shughuli za bar, clubs restaurant, tupende tusipende ni lazima zifungwe tu, athari za kiuchumi ni lazima zitokee, ila hakuna namna, siungi mkono kuchapa wateja badala ya kufunga hizo shughuli
 
Mbona viongozi wanasisitiza tuchape kazi? Kwani baa na starehe siyo biashara halali na hakuna walioajiriwa pale?

Tuendelee na ujinga....
 
Kwani huwezi kula pesa yako ukiwa nyumbani

Unaweza sana, ila bar kuna raha na demokrasia yake, unaweza shika hata mrembo kalio, je huko nyumbani ukilewa ukamgusa dada wa kazi kalio, huo ugomvi wake utauweza? Isitoshe hakuna Katazo kuna kosa gani?
 
Toeni Tamko kufunga bar zote nchi nzima...haya mambo ya kuchapana fimbo ni ya ki analogy sana!!

Mambo ya karne ya 7 mnayaleta leo aibu
[emoji23][emoji23]utakula bakora hadi uchakae

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ah sasa si watangaze lockdown ieleweke moja?

Mambo ya kufurumisha watu kama utumwa haina maana
ila wabongo tuwe tunasikia corona its real jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…