Handsome wa Urambo
Member
- Sep 29, 2020
- 84
- 20
Hivi kweli kuna watu ni wajinga kiasi hiki mpaka umeamua kutunga story. Ukitaka kutanga story leta story hata inaenda na ukweli zaidi ili watu tuamini sio kwa upuuzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kama unafanana na washenziMwambie aache uzinzi kwanza...Mungu ni mwema anasamehe
Utakufa wewe ukiwa unajionaDah sihami Tanzania yani imejaa vipaji vya kuigiza japo hatutoboi kwenye tuzo zakimataifa kwasababu vimeishia saluni na kuwa wabunge
Hili ni dude la mbinguni na watanzania tunatakiwa kumtumia kwa maendeleo kwa kweliiAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha mashetani na ghafla akazimia.
Askofu Gwajima baada ya kumaliza kunyoa alimuombea dada huyo naye akazinduka, askofu akamuonya kwamba asirudie tena kutaka kugusa kichwa chake.
Saluni nzima wakaanza kuimba mbunge... mbunge.... mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Nyoooo pambana na hali yako😂🤣Anamfufua lini Amina Chifupa?
Na sote tuliitikia AminaUtakufa wewe ukiwa unajiona
Na usanii wako mwenyewe
Kamuulize bibi wa bibi yakoVipi yule mwanamke kwenye ile video pendwa naye alizimia?
Nonsense huo ni uzushiMi nasubiri nione atakavyogeuza madrassa na miskiti kuwa Sunday School ...
Waislam wa Kawe nawaamini sana hawana tabia za kinafki kama Alhadi Mussa, tarehe 28 Oct tutamuonyesha kazi
huo ni uzushiAskofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.