Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Maji, nilikua napenda sana Energy ikafika wakati nikinywa Moyo unaenda mbio balaa, na sikujua kwanini... njia ya kuacha Rafiki yangu akaniambia niwe nakunywa Maji basi ndo nimekua kama Mlevi wa Maji🀠🀠🀠
 
Pepsi bariiiiidi

Tena iwe imeanza kuganda(hapa najua nitatesa wengi mnoo [emoji23] )
Na kuna akina sisi ambao hata tukienda dukani kununua soda yenye ubaridi haswa wauzaji hushangaa sana, mimi nipo tayari nizunguke maduka hata 100 ili tu nipate pepsi iliyo na ubaridi haswaa iliyoganda, nikipewa isiyo na ubaridi nakataa.

Na hapa tayari kuna maduka washajua nini nataka, nikifika hawaulizi tena zaidi ya kujiongeza kunipa pepsi big bariiiiiiidii.[emoji3]
 
We ndio mtu..wanzuki..banana ndio viwanywaji murua
 
Dr Pepper, hutu tudude tuwe twa baridiiiii hadi tunatoa mvuke....



Mojito ya baridiiiii ya strawberry...



Non alcoholic Margarita au Lemonade ya baridiiiii...

 
Kwamba uko Kawe kizibo unakiokotea mbagala, au siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…