Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Maji, nilikua napenda sana Energy ikafika wakati nikinywa Moyo unaenda mbio balaa, na sikujua kwanini... njia ya kuacha Rafiki yangu akaniambia niwe nakunywa Maji basi ndo nimekua kama Mlevi wa Maji🤠🤠🤠
 
fresh-farm-milk-500x500.jpg
fresh-milk-pouring-splash-in-a-glass-over-blue-K42DGJ.jpg
 
Pepsi bariiiiidi

Tena iwe imeanza kuganda(hapa najua nitatesa wengi mnoo [emoji23] )
Na kuna akina sisi ambao hata tukienda dukani kununua soda yenye ubaridi haswa wauzaji hushangaa sana, mimi nipo tayari nizunguke maduka hata 100 ili tu nipate pepsi iliyo na ubaridi haswaa iliyoganda, nikipewa isiyo na ubaridi nakataa.

Na hapa tayari kuna maduka washajua nini nataka, nikifika hawaulizi tena zaidi ya kujiongeza kunipa pepsi big bariiiiiiidii.[emoji3]
 
Napenda wanzuki aka mabuyu. Ukilifungua linafoka balaaa na Lina Sheria zake.
1.kama ulishake chupa acha litulie ndo ufungue tena unajua unafungua taratibu taratibu. Ukifungua moja kwa moja kizibo utakiokotea mbagara Kama ulikua kawe.
2.ukinywa lazma ukojoe Mara kwa Mara. Usinywe chupa nyingi muda mfupi kabla ya kulala inaweza limwaga kojo Kama ulikunywa kiwango Cha kulewa
We ndio mtu..wanzuki..banana ndio viwanywaji murua
 
Dr Pepper, hutu tudude tuwe twa baridiiiii hadi tunatoa mvuke....

images

Mojito ya baridiiiii ya strawberry...

strawberry-mojito-mocktail-4-1021x1536.jpg

Non alcoholic Margarita au Lemonade ya baridiiiii...

classic-margarita-1.jpg
 
Napenda wanzuki aka mabuyu. Ukilifungua linafoka balaaa na Lina Sheria zake.
1.kama ulishake chupa acha litulie ndo ufungue tena unajua unafungua taratibu taratibu. Ukifungua moja kwa moja kizibo utakiokotea mbagara Kama ulikua kawe.
2.ukinywa lazma ukojoe Mara kwa Mara. Usinywe chupa nyingi muda mfupi kabla ya kulala inaweza limwaga kojo Kama ulikunywa kiwango Cha kulewa
Kwamba uko Kawe kizibo unakiokotea mbagala, au siyo
 
Back
Top Bottom