Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Waarab hawachelewi kudai kila mtu awe muislam kama hamtaki wanaanzisha vikundi vya magaidi kwa ushirikiano na wauza silaha wa kizungu tu
 
Chuki za kidini wamezihamishia mpaka kwenye masuala ya kimaendeleo
JIBUNI HOJA ZA WENYE AKILI MSIJIFICHE KWENYE KICHAKA CHA DINI. 1. Huyo dp-world anauziwa bandari au anapewa kwa mkataba? na kama ni mkataba ni miaka mingapi? 2. Kama dp-w wanataleta neema, Je, WAZANZIBAR wanaohusika kuwapa dpw bandari zetu wao hawataki neema hiyo huko kwenye bandari zao? mbona dpw anapewa bandari za Tanganyika tu.
 
Ungezitaja kabisa kwa rejea na faida ya wengi
 
Kama mngekuwa mnawaza na nyie siku moja mtawekeza kwenye nchi zao mbona mngekuwa na amani?

Akili za kijinga sana kujiona dhalili kisa kuna rangi fulani imewekeza na kutunyonya

Laiti mngejua Qatar alivyowekeza na kununua baishara nyingi na nusu ya majengo London basi kuna watu wangejinyonga

Wamenunua hisa mpaka Barclay's
Wamenunua Shard, Canary Wharf imebebwa, Shell center, hata Claridge's of London iko mikononi mwa matajiri wa Qatar na hata Harrods pia

Sasa kama kulaumu nchi imeuzwa basi [emoji636] ndio waseme hivyo kuwa Waarabu wamewatawala lakini badala yake wanafurahia investment na kodi wanazokusanya

Sasa nyie mtu anawekeza badala ya kuchukua fursa kama Qatar anavyowauzia na Gas huku akifaidi shares zote za London

Na sisi tupeleke bidhaa zetu uarabuni basi hata matunda na mboga kwa wingi pia tuna vitu vingi kama dhahabu

Je mmewaza kufungua maduka ya Dhahabu Dubai? Au mna akili za kutukana tu
 
dini ya wakristo wanaitumia bandari kwa maslahi yao vitu vingi vinapita bure kwa mgongo wa dini halafu unazikuta kariakoo zinauzwa na wengine na familia zao ndio wapigaji wa mamilioni ya pesa kutokana na bandari na yoote ilitengenezwa na laana nyerere, ndio maana hawataki bandari achukue mtu ibaki serikalini wazidi kunufaika , rejea hotuba ya makufuli kuhusu wizi wa bandarini, hawa wakristo mpaka wanajeshi lao hapa tanzania linaitwa jeshi la wokovu,hii sheria waislamu wamekaa kimya sababu ya chama mchongo bakwata ,lakini ngoja muislamu awe na jeshi watakuja mapatri kama wote kulalamika, madrasa ya wanafunzi wakifundishwa gym karate wanaambiwa wanafundishwa ugaidi wao kuwa na jeshi na silaha jambo lakawaida
 
Obama (mwafrika) alichaguliwa kuwa Rais wa marekani, wakati Sunak(mhindi) ni waziri mkuu wa Uingereza.
Hebu fikiria nini kitatokea ikiwa mhindi au mwarabu au mchina atagombea urais wa Tanzania.
Wakati dunia inazidi kuwa kijiji kwa Tanzania itakuwa jambo la ajabu sana na ajabu zaidi akitajwa ni muarabu. Nakumbuka Salim Ahmed alipotaka kugombea uraisi alijuta kupeleka jina lake.
 
wanachoogopa kusema mkataba ni wa muda gani na faida zake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba ni wa muda gani tu isingeleta hoja za akina mbowe za mama na wanawe. Kuhusu faida kama hujaziona huna macho au ndio unachagua hasara kwa kuogopa mwarabu.
Ngoja nikukumbushe faida ambazo Rwanda na Kenya walikwishakuziona.Sisi hata kama tumechelewa lakini kwa nafasi yetu kieneo basi hakuna namna miradi ya Kenya na Rwanda itaweza kuzipiku bandari za Tanzania katika kulihudumia eneo la kati na kusini ya kati ya Afrika.
 
usitumie kichwa kama kifuniko cha shingo.
 
Mama wa kambo alimuua baba ili atapanye mali.
 
hakuna hata mtu anayewaogopa waarabu, waarabu wanatakiwa kuja tena wengi kuwekeza kwasababu wana pesa nyingi za mafuta n.k, na ni wajomba zetu kwa historia. ila tunachopinga ni terms za mkataba (vipengele vya mkataba). sakata lote hili wala halina harufu ya udini au uarabu, ni vipengele vya mkataba. ila wanaolazimisha uingiwe na wenye akili ndogo ndio wanasambaza kwamba watu wanaopinga ni wadini ili iwe tiketi ya watu kunyamaza na mkataba upite.
 
vitu vinavyopita bandarini kwa mgongo wa dini ni vitu vya shule na hospitali ambazo zinatibu watu wa imani zote. hata vitu vya bakwata vinapita kwa mgongo wa dini, sema wengine huwa hawajali sana elimu na kujenga mahospitali ndio maana unaona kama vinapita vichache. tembea tz nzima angalia ni waislam wangapi wamezaliwa kwenye hospitali za misheni utashangaa, lukuki. na ni jambo zuri. msamaha wa kodi kwenye vitu vya dini haubagui dini, ni hata kwa dini yako.

ugonjwa ukikutandika hata kafiri anaweza kukutibu ila ukaipona utamwita karifi. akili yako imejaa funza.
 

Ikiwa katika usajili waislamu wanawekewa vikwazo lukuki na wakifanikiwa kupata kibali zinatafutwa sababu ndogo kuzifunga hospitali zao utaonaje madawa yao hapo bandarini.
Jengine iwapo kumbe kuna msamaha wa kodi kwa vitu vya kidini vya kikristo mbona mkifika huko vituoni hamtibu bure na wala hamuweki nafuu ya matibabu. Huo ni ujanja ujanja wenu tu kuikuza imani yenu kwa migongo ya kodi zetu.
 
Wewe mzenji umeni misquote!
 
Sasa akija Raisi mwingine alivunja mikataba, wapinzani si wataanza kulalika kama walivyo msema Magufuli alivyokuwa ana ivunja mikataba ya hovyo na ndege zetu zikawa zina kamatwa.
 

unatilisha huruma mkuu, walikufanya nini kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…