Ni ujinga na umasikini tu unawasumbua watu!
Unalinganisha UK, na bongo?
UK, hata matajiri wa urusi wamewekeza, kwa mifumo ya UK, hata mzungu wa unga akiwekeza sio shida, mifumo ya usalama ya UK ipo macho kulinda maslahi mapana ya Wazungu(weupe), msijisaulishe kifo cha Dod elfied(mwarabu) aliyekuwa ana date na princess Diana, aliuliwa kwa sababu UK, haipo tayari kuwa na prince au princess mwarabu!,
UK, ina BP, British petroleum, Shell,
Ma kampuni makubwa yanayochimba mafuta kwenye visima vya waarabu,
Sasa nyie bongo mna nini? Kujilisha ugari tu na sukari hatuwezi,
Ukiona mkataba wa uwekezaji Afrika, ujue ushapigwa, kwa UK, hakuna huo upuuzi, usije ukajidanganya kwamba, hao waarabu wakienda kuwekeza ulaya, wanafsnaya lobbying za ki K kama walizofanya hapa bongo, kuwachukua wabunge na kuwapereka Dubai kula bata, onyesha hao Qatar walipowachukua wabunge wa UK kuwapereka Uarsbuni kuona bandari!
Bongo ni wizi, mtupu,kisa sio mwarabu,
Kama waarabu wapo kibao bongo,
Elsewedy electric ana Jenga kiwanda kikubwa bagamoyo!amepewa ardhi ya kutosha,mbona hakuna kelele,
Umeishawahi kuona viongozi wa Ulaya, UK, wanaalikwa sehemu au uarabuni ili wapewe misaada, kama inavyofsnyika kwa viongozi wa Afrika? Acha ujinga, Terms wanazokuja nazo hawa wawekezaji Afrika ni tofsuti na wakienda UK, au US,
Jiulize kwanini Eron musk, kajenga kiwanda china, na sio bongo, kwanini kampuni kama General Motors, Hyundai Toyota, hazina plants bongo, Ila wanazo china,