Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

Kwani wanalazimishwa kwenda huko UAE nk [emoji1]
Siku zote nawaambia wabongo waache kulialia badala yake na wao
Watafute nguvu ya kiuchumi
Siyo wanaishia kukatika mauno kwenye singeli na amapiano

Ova
Wapumbavu sana hao
Maduka ya Falme za kiarabu na nchi za ulaya yamejaa Dhahabu na Almasi lakini huoni duka hata moja la mtanzania ingawa tuna Dhahabu kibao

Leo hata serikali haina Think tank wa kutoa rai au kushauri

Kweli masikini na Uhasidi vinaenda pamoja
Ukiwa juu wanataka kukushusha
Sasa kina Musukuma walikuwa wanaiba Dhahabu na kupitisha borders eti mpaka kilo 50 si angeenda kufungua duka lake Dubai

Ila kuchunga ng'ombe bado anajiona Kapasua [emoji1]
 
Nahisi kimetoka kwenye history, biashara ya utumwa.
Nimesikia vitendawili vya watoto redioni nikabaki nacheka tu.
1. Mwarabu kalala jalalani
2. Mwarabu amelala kaacha ndevu nje..
Hawa watoto wanafanya utani hawajui mwarabu ameshapindua meza, miaka michache tu ijayo mwarabu atawatembezea mijeledi
 
Najua wana sababu na kwa hilo hatuna haja ya kuwahoji sana.Muhimu sababu zetu za awali za kukataa huu mkataba zilikuwa za kitoto sana.Kama tuna sababu nyengine za kuuvunja au kuurekebisha itakuwa tumetumia akili zetu kama za kwao Wajibuti sio kutumia upuuzi wa kikabila na kidini.
Wewe ndio unatubia udini. Wenzio wanahoji mkataba we unahoji udini. Yaan kuhoji mkataba ni sababu za kitoto kweli we bure kabisa. Inaonekana huna exposure kabisa. Hiv mnajua hawa UAE na Qatar wakitumia wazungu ndio walifadhili kundi lililomuua Ghadafi? Mnajua hawa jamaa kupitia mzungu ndio walikuwa wanafadhili vita Syria na UAE na Saudia ndio wanaua watu hapo Yemeni we unawaona ni waislamu sana sio? Kwa taarifa yako hata hapo sudan hiyo vita ni hawa jamaa wakitumia na marekan ndio wanayumbisha pale. Hata hii DP world hapa kwetu marekan yupo nyuma yake baada ya kustuka mchina anataka kujenga bandar bagamoyo. So mchina akichukua hapo congo Zambia Malawi Burundi Rwanda zote mpaka Uganda marekan anapotezwa so better way ni mwarabu coz wanajua tuna unasaba nao hatutawakataa wakawatumia. Sasa hapa kwetu coz tuna mandez yamekimbilia kwenye dini watu wale wale miaka yote walikuwa wanatumbia CCM imewaonea waislamu miaka yote leo wamegeuka ni wazur. Pua pua pua kabisa. Cc Nyerere kibogoyo
 
Kwa kiingereza wenyewe wanasema "do not put all your eggs in one basket" hivi kukabidhi bandari zote kwa mwarabu mshenzi tuu hiyo ni akili au matope bora angepewa mchina. Niambie mwarabu ana msaada gani kwa sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Wale wanataka kuleta ushenzi wao hapa na tutawafurikua ngoja huyo mama aleye waweka hapo aondoke
Hawakushindi wewe kwa ushenzi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga na umasikini tu unawasumbua watu!
Unalinganisha UK, na bongo?
UK, hata matajiri wa urusi wamewekeza, kwa mifumo ya UK, hata mzungu wa unga akiwekeza sio shida, mifumo ya usalama ya UK ipo macho kulinda maslahi mapana ya Wazungu(weupe), msijisaulishe kifo cha Dod elfied(mwarabu) aliyekuwa ana date na princess Diana, aliuliwa kwa sababu UK, haipo tayari kuwa na prince au princess mwarabu!,
UK, ina BP, British petroleum, Shell,
Ma kampuni makubwa yanayochimba mafuta kwenye visima vya waarabu,
Sasa nyie bongo mna nini? Kujilisha ugari tu na sukari hatuwezi,
Ukiona mkataba wa uwekezaji Afrika, ujue ushapigwa, kwa UK, hakuna huo upuuzi, usije ukajidanganya kwamba, hao waarabu wakienda kuwekeza ulaya, wanafsnaya lobbying za ki K kama walizofanya hapa bongo, kuwachukua wabunge na kuwapereka Dubai kula bata, onyesha hao Qatar walipowachukua wabunge wa UK kuwapereka Uarsbuni kuona bandari!
Bongo ni wizi, mtupu,kisa sio mwarabu,
Kama waarabu wapo kibao bongo,
Elsewedy electric ana Jenga kiwanda kikubwa bagamoyo!amepewa ardhi ya kutosha,mbona hakuna kelele,
Umeishawahi kuona viongozi wa Ulaya, UK, wanaalikwa sehemu au uarabuni ili wapewe misaada, kama inavyofsnyika kwa viongozi wa Afrika? Acha ujinga, Terms wanazokuja nazo hawa wawekezaji Afrika ni tofsuti na wakienda UK, au US,
Jiulize kwanini Eron musk, kajenga kiwanda china, na sio bongo, kwanini kampuni kama General Motors, Hyundai Toyota, hazina plants bongo, Ila wanazo china,
 
Kweli na waafrika wenzao ndio walikuwa wanawakusanya na kuwapelekea wazungu na waarabu kama biashara
Leo miaka karibu 300 bado kuna waafrika wanapanda boti wenyewe na kujipeleka kwa wazungu na wengi kufia baharini

Zamani walibebwa siku hizi wanajipeleka wenyewe kama Mbwa kaona Chatu
tunaongelea east africa, jamaa alisema waarabu hawakuuza watumwa, sasa sijui walikuja kufanya nini huku na tiptip amesema hata hakuuza watumwa ila alikuwa mfanyabiashara tu. amesahau kuwa hata pale zanzibar, ardhi yao kuna waarabu wanamiliki miti na ardhi inamilikiwa na mweusi hadi kesho. watumwa hawa.
 
Shida si waarabu, shida ni mkataba.
Hawawezi kujibu hoja wanakimbilia kwenye udini na Uarabu wajibu hoja

Waliona wapi karne ya 21
Serikali ya nchi ipi inaweza kuingia mkataba wa milele? how?
Watuoneshe mkataba mmoja unaofanana na huu waliosaini hawa majambazi tangu dunia ilipoumbwa.
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.

Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.

Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.

Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.

Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.
wewe ndio unaogopa waarabu. utaogopaje waarabu ambao ni asilimia kubwa tu raia wa hapa hapa tanzania. watu hawapingi mwarabu, wanapinga vipengele vya mkataba. vichwani mwenu mmejaza makamasi tu ndio maana hata hamuelewi hoja za msingi.
 
Mkataba hauwezi kuwa wa upande mmoja kama unavyotaka ww kama kweli mnauzalendo mbona mnauongelea mkataba mmoja tu vipi kuusu mikataba ya madini mbona hamlalamikii au uko Tz inapata tija nyingi kuliko Mzungu mfn Mkataba Tz na Acacia na baadae Tz na Barrick Gold Corp. Bdo Mikataba ya Tz na wawekezaji huko Mkoani Mara na Geita Kila Leo tunazidi kuachiwa maandaki na mashimo yasiokuwa na Tija mbona hamzungumzia ukomo wa haya mpaka lini?
Kwaiyo kwa vile wazungu wametupiga Sasa iwe zam ya wa arabu?
 
Kwa kiingereza wenyewe wanasema "do not put all your eggs in one basket" hivi kukabidhi bandari zote kwa mwarabu mshenzi tuu hiyo ni akili au matope bora angepewa mchina. Niambie mwarabu ana msaada gani kwa sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Wale wanataka kuleta ushenzi wao hapa na tutawafurikua ngoja huyo mama aleye waweka hapo aondoke
Muarabu akikusaidia atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
 
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu.
Si kweli.
Naomba uniambie mkataba utaishi lini?

Je Tanganyika tutapata faida gani? Tuachane na akili za kusema tutapata ajira, huo ni uwongo. Artificial Intelligence itafanya kazi zote.

Artificial Intelligence haioi kwamba itaenda honey moon utafuta mbadala wake

Artificial intelligence haiendi maternity leave.

Haina annual leave, wala haifiwi.

So tukiwa tunataja manufaa ya DP WORLD tutaje vitu tangible
 
Siyo tu Tanzania mkuu, nchi za kijamaa Zina mambo ya kipuuzi sana! Atokee mtu mweusi akagombee uraisi Russia(samahani kwa mashabiki wa Russia), hiyo siku anatangaza tu atatumiwa bomu la sumu litapita Hadi kitandani kwake kummalizia hapo hapo! ujamaa ni upimbi wa Hali ya juu kuwahi kuruthishwa! Yaani unajenga chuki na matajiri bila sababu ya msingi! Leo hii mtu kama MO angeteuliwa kuwa Waziri wa fedha ndiyo ungewajua waTZ ni watu wa aina Gani! Wenyewe tumepandikizwa mbegu kwamba kabila Fulani(mbaya zaidi zimekuwa cited zile zilizoendelea) hazitakiwi kutoa raisi wa TZ! Zinatakiwa kabila za nyuma ndiyo ziongoze! Upumbavu wa Hali ya SGR
Yalikuwa ni mawazo ya kijamaa ya henzi hizo, eti mwanafunzi mmoja akipatikana na majibu siku ya mtihani shule inafungiwa miaka 5 kutofaulisha mwanafunzi hata mmoja.Na usingeweza kwenda popote mahakamani kupinga jambo hilo.
 
History ya uongo na uzushi wa hali ya juu.Wanaotajwa vinara wa kufanya biashara hiyo kama vile tip tip alikuwa ni chotara wa kinyamwezi na kwa maandishi yake hakufanya biashara ya utumwa.Alikuwa mfanya biashara wa bidhaa za wakati huo na alikuwa akiajiri watu kumbebea bidhaa hizo mpaka bandarini.
Wewe unajua historia sana kuliko waliokuwepo?
Waarabu wamefanya biashara ya utumwa na pembe za ndovu. Kuna majahazi mengi sana yalikuwa yanasafirisha watumwa kuelekea urabuni.
Mwaarabu alikuwa anawahasi na kuwaua ili kizazi cha kiafrika kisiwepo Uarabuni. Maana itapoteza rangi zao.
Mfano hai Tunisia yenye waislamu 99.9% wameandamana pamoja na raisi wao kupinga kuwepo kwa wafrika wazamiaji wanaoenda ulaya kwa kuzamia.
Madai yao ilikuwa wanahofia wakiwa wengi jamii ya wafrika weusi itakuwa kubwa na kuanza kuzaliana na waarabu.
 
Wewe unajua historia sana kuliko waliokuwepo?
Waarabu wamefanya biashara ya utumwa na pembe za ndovu. Kuna majahazi mengi sana yalikuwa yanasafirisha watumwa kuelekea urabuni.
Mwaarabu alikuwa anawahasi na kuwaua ili kizazi cha kiafrika kisiwepo Uarabuni. Maana itapoteza rangi zao.
Mfano hai Tunisia yenye waislamu 99.9% wameandamana pamoja na raisi wao kupinga kuwepo kwa wafrika wazamiaji wanaoenda ulaya kwa kuzamia.
Madai yao ilikuwa wanahofia wakiwa wengi jamii ya wafrika weusi itakuwa kubwa na kuanza kuzaliana na waarabu.
Na wewe kama mimi hukuwepo.Umesoma tu.Sasa katika kusoma lazima tuwe na akili za kuchambua tulichosoma na pia kuangalia vyanzo tulivyosoma.Jee tumesoma masimulizi ya wengine au tumesoma mashahidi waliokuwepo.
Kwa suala la utumwa naamini wewe umesoma hadithi za wazungu ambazo kimantiki haziwezi kuwa na mashiko kwani kuingia kwao Afrika mashariki tangu mwanzo ilikuwa ni kupambana na waislamu ambao walikuwa wamewatangulia zamani sana.Hivyo pamoja na kuwa wao ndio waliofanya biashara ya utumwa lakini walipoona haina faida tena na kuna haja ya kuiacha wakatumia fursa hiyo kusingizia wenzao ambao walikuwa na hasama nao,
Kuhusu kuhasiwa kwa waafrika hizo ndizo habari zenu za makanisani.Arabuni kuna watu weusi wengi tu na hatujui kwa uhakika walifikaje na hawabughudhiwi na mtu.Lakini kule Marekani kila siku wazungu wanawauwa wananchi wenzao weusi.
 
Na wewe kama mimi hukuwepo.Umesoma tu.Sasa katika kusoma lazima tuwe na akili za kuchambua tulichosoma na pia kuangalia vyanzo tulivyosoma.Jee tumesoma masimulizi ya wengine au tumesoma mashahidi waliokuwepo.
Kwa suala la utumwa naamini wewe umesoma hadithi za wazungu ambazo kimantiki haziwezi kuwa na mashiko kwani kuingia kwao Afrika mashariki tangu mwanzo ilikuwa ni kupambana na waislamu ambao walikuwa wamewatangulia zamani sana.Hivyo pamoja na kuwa wao ndio waliofanya biashara ya utumwa lakini walipoona haina faida tena na kuna haja ya kuiacha wakatumia fursa hiyo kusingizia wenzao ambao walikuwa na hasama nao,
Kuhusu kuhasiwa kwa waafrika hizo ndizo habari zenu za makanisani.Arabuni kuna watu weusi wengi tu na hatujui kwa uhakika walifikaje na hawabughudhiwi na mtu.Lakini kule Marekani kila siku wazungu wanawauwa wananchi wenzao weusi.
Waarabu na wazungu wamefanya biashara ya watumwa. Hiyo haifutiki hata miaka 100%.
Miaka hii 2023, Ni rahisi sana muafrika kuishi kwenye nchi ambazo siyo za waarabu akazaa na akawa kizazi chake, Marekani, canada, australia, uingereza n.k ila siyo nchi za waarabu zenye waislamu wengi. Mfano hai Tunisia. Watakuua ili kizazi cha kiarabu kisipotee. Kuna mwarabu wa kiislam alimchoma mwafrika kisu, wakitaka waondoke hawawataki waafrika.
Shida yenu mkiwa kwenye dini ya waarabu na nyie mnajifanya waarabu wakati wenyewe hawawataki.
Nikikuwekea visa ya nchi yoyote ya uarabuni na Marekani au Canada, utaenda Marekani au Canada.
 
Back
Top Bottom