Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Hivi kufufua ATCL na kununua mandege tena kama wanavyo sema wananunua cash na kujenge REFINERY ya uwezo mkubwa hapo lipi LINGEKUWA jambo bora na lenye TIJA KUBWA kwa TAIFA?
Good question! Thanks!
 
Nyerere hakujenga viwanda bali alidhulumu wakoloni, wazawa na Wa Asia viwanda vyao
Tanganyika packers haikujengwa na wa Tz
Urafiki ilijengwa na China [emoji630]
Viwanda vyote vilivyojengwa kwa ufisadi wa mali za nchi Nyerere alitaifisha!

Kuhusu kiwanda cha Urafiki hoja yako ni ya kijinga! Wewe ukiajiri mkandarasi akujengee nyumba inakuwa yake? Sasa hivi Waturuki wanajenga SGR ni yao!

Stupid!
 
Halafu wanasema Mkapa alikuwa bonge la kiongozi, kiongozi gani aliyeua mashirika Mengi ya umma ambayo yalikuwa yanareta tija kwa wananchi? Mkapa ndiye chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi,hata viongozi tunaowapa uongozi hawawezi kuangaria tulipoangukia wakarekebisha tukasonga,wanaendereza hayohayo.
 
Utasikia.. watanzania wanahitaj elimu, maji, umeme na huduma za afya 😂😂😂 That's they songs always 🤣🤣🤣🤣
Kwa mujibu wa yule mjinga Dr. Mahera wakati akiwapigia kampeni CCM!
 
Kama serikali yangu haina dola milioni 500 miaka 60 ya uhuru basi nachoka mimi
 
Ni issue ya kuwaambia hata Russia mwezi tuu wamekikarabati... au Tehran... kuliko kushinda kuuza sura kwa wezi wale
 
Hakika. Viongozi wa CCM ni walafi haijawahi kutokea, TIPER ilikua inafanya kazi mpaka mwaka 1999. Walipoweka ubinafsishaji ndio biashara ya refinery ikafa kifo cha mende
Nyerere was a man
 
Hoja yako ni ipi ndugu..!! hatuna akili ya kumanage? au hatuna Hela ...!! Kama ni akili sina hakika kama kweli hatuna ...sababu mfumo wa Nchi yetu hautoi nafasi kwa watu wenye akili kuzitumia...kama ni Hela sio kweli Mahela yale Magufuli aliyotumbukiza kwenye biashara kichaa ya Ndege kwanini asingewekeza huko TIPER kisha atafute mBIA wakuiendesha na Serikali ibadi kula Kodi....na kuhusu capacity obvious nilazima kui upgrade issue ninayoona mimi ni mfumo wetu wa Nchi unaletea watu wasio na uwezo kuwa kwenye nafasi za maamuzi period
 
Kama serikali yangu haina dola milioni 500 miaka 60 ya uhuru basi nachoka mimi
Hizo dola million 500 mbona ni pungufu ya zile Shilingi trilioni 1.5 ambazo CAG alisema hazijulikani zilikopelekwa na utawala wa Jiwe!
 
Usiihusishe CCM, hata CCM alikuwa anaipeleka kuzikwa bwana yule.

Umesahau alivyoisambararatisha chadema?
Chadema ipi iliyosambaratika?
Ingesambaratika mngetumia Bunduki kuwazuia hata mikutano yao? unahangaishaje Dola kupambana na chama kilicho sambaratika
 
Unataka kusema kwamba uo mtambo usingeongezwaga uwezo wa kufanya Kazi kwa miaka yote iyo?kwa mahitaji ya kipindi kile ilikua ni sawa mambo hubadilika kulingana na nyakati
 
Kwa Sasa Mutex Na Mara Oil Kuna Nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…