Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanda vyote vilivyojengwa kwa ufisadi wa mali za nchi Nyerere alitaifisha!Nyerere hakujenga viwanda bali alidhulumu wakoloni, wazawa na Wa Asia viwanda vyao
Tanganyika packers haikujengwa na wa Tz
Urafiki ilijengwa na China [emoji630]
Halafu wanasema Mkapa alikuwa bonge la kiongozi, kiongozi gani aliyeua mashirika Mengi ya umma ambayo yalikuwa yanareta tija kwa wananchi? Mkapa ndiye chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi,hata viongozi tunaowapa uongozi hawawezi kuangaria tulipoangukia wakarekebisha tukasonga,wanaendereza hayohayo.Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Yote ni macccmNaunga mkono hoja.
Tusimung'unye maneno, Rais Mwinyi ndiye aliyeuza kiwanda cha TIPER.
Kwani hakuwa Rais?Magufuli angeshafufua Tipper baada ya haya mozonge mazonge ya bei
Kama serikali yangu haina dola milioni 500 miaka 60 ya uhuru basi nachoka mimiZambia wanacho hawakuua kilijengwa same time na chetu
Cost ya kukikarabati sio kujenga kiwanda kipya zinahitajika dola milioni 500 hawana wanahaha kutafuta private investors!!
Kuna biashara Serikali haiwezi fanya Haina pesa za hiyo biashara
Kiwanda cha Tipper waitaliano wa Agip ndio waliwekeza Serikali ikajifanya kutaifisha limewatokea kooni
Private sector capital ina raise capital markets za kimataifa.Miradi kama hiyo Serikali haiiwezi kutegemea ukusanye Kodi dola milioni 500 kwenye mauzo ya nje ya mazao kama ya korosho sijui pamba sio rahisi!!
Mwenye nguvu mpishe Serikali irudishe kwa Agip hicho kiwanda cha kusafisha mafuta Serikali haiwezi kuwa na mtaji wa kufufuka hicho kiwanda ni lofa
Hakika. Viongozi wa CCM ni walafi haijawahi kutokea, TIPER ilikua inafanya kazi mpaka mwaka 1999. Walipoweka ubinafsishaji ndio biashara ya refinery ikafa kifo cha mendeViongozi wa CCM ndiyo walioua ilifanye biashara ya mafuta hata SGR haiendi popote
Nyerere was a manHakika. Viongozi wa CCM ni walafi haijawahi kutokea, TIPER ilikua inafanya kazi mpaka mwaka 1999. Walipoweka ubinafsishaji ndio biashara ya refinery ikafa kifo cha mende
TIPPER myifufue ?je waagizaji mafuta wakale wapi???Zambia wanakula raha tu
Hoja yako ni ipi ndugu..!! hatuna akili ya kumanage? au hatuna Hela ...!! Kama ni akili sina hakika kama kweli hatuna ...sababu mfumo wa Nchi yetu hautoi nafasi kwa watu wenye akili kuzitumia...kama ni Hela sio kweli Mahela yale Magufuli aliyotumbukiza kwenye biashara kichaa ya Ndege kwanini asingewekeza huko TIPER kisha atafute mBIA wakuiendesha na Serikali ibadi kula Kodi....na kuhusu capacity obvious nilazima kui upgrade issue ninayoona mimi ni mfumo wetu wa Nchi unaletea watu wasio na uwezo kuwa kwenye nafasi za maamuzi periodMambo mengine ni ya kujifurahisha tu.
TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.
Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.
Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres million 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153[emoji116]na unapata product zifuatazo.
View attachment 2211911
Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.
Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka bullion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha 544 million litres at maximum (it could be lower given its technology).
That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.
Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.
Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.
Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
Jamaa huwa wanashindwa tu kuuza hewa ya MUNGUHakika. Viongozi wa CCM ni walafi haijawahi kutokea, TIPER ilikua inafanya kazi mpaka mwaka 1999. Walipoweka ubinafsishaji ndio biashara ya refinery ikafa kifo cha mende
Chadema ipi iliyosambaratika?Usiihusishe CCM, hata CCM alikuwa anaipeleka kuzikwa bwana yule.
Umesahau alivyoisambararatisha chadema?
Unataka kusema kwamba uo mtambo usingeongezwaga uwezo wa kufanya Kazi kwa miaka yote iyo?kwa mahitaji ya kipindi kile ilikua ni sawa mambo hubadilika kulingana na nyakatiMambo mengine ni ya kujifurahisha tu.
TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.
Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.
Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres million 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153[emoji116]na unapata product zifuatazo.
View attachment 2211911
Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.
Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka bullion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha 544 million litres at maximum (it could be lower given its technology).
That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.
Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.
Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.
Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
Kwa Sasa Mutex Na Mara Oil Kuna Nini?Ila serikali chini ya CCM imetukosea sana watanzania, Tanzania ilikuwa imesheheni viwanda vingi mno ila hadi sasa 90% ya viwanda hivyo vimebakia magofu…
Mfano mkoa wa Mara ulikuwa na MUTEX, MARA OIL, Kiwanda cha mkonge, kiwanda cha ngozi vyote vishajifia..