We unafikri bei itapanda kwa tamko la rais ?Kwa akili za kikulima, asa ukiwa mkulima unajua kama chakula kipo kingi ama chakula hakuna Kila mkulima anajua hilo swala, tuje kwenye uhalisia kwa sasa chakula kipo chini sana kwa bei, hapa nazungumzia jikoni (shambani), hii bei inamuumiza sana mkulima ndio mana nasema(naunga mkono) hoja ya mheshimiwa raisi kuwa bei zipande na wakulima wapate faida, kwa Tanzania ata iweje kwenye suala la chakula haliwezi kupanda bei mpaka wananchi wakashindwa kununua masokoni ni suala ambalo haliwezekani, nasema hivi sababu najua, nimelima na nimeuza mazao sokoni mwenyewe, Kuna watu wana stock ya miaka miwili nyuma na bado wanaingiza mpya, ata wakisema tuuze nchi jirani chakula kupanda mpaka kufikia bei ya kutisha ni hapana.
NB: hapa nazungumzia mazao ya chakula ambayo wanalima watanzania kwa wingi mf. Mahindi na mchele .....etcetera etcetera
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka 2017 gunia la mahindi lilifika 140000 hii kwa walaji unadhani ilikuwa ni affordable price ?Kwa akili za kikulima, asa ukiwa mkulima unajua kama chakula kipo kingi ama chakula hakuna Kila mkulima anajua hilo swala, tuje kwenye uhalisia kwa sasa chakula kipo chini sana kwa bei, hapa nazungumzia jikoni (shambani), hii bei inamuumiza sana mkulima ndio mana nasema(naunga mkono) hoja ya mheshimiwa raisi kuwa bei zipande na wakulima wapate faida, kwa Tanzania ata iweje kwenye suala la chakula haliwezi kupanda bei mpaka wananchi wakashindwa kununua masokoni ni suala ambalo haliwezekani, nasema hivi sababu najua, nimelima na nimeuza mazao sokoni mwenyewe, Kuna watu wana stock ya miaka miwili nyuma na bado wanaingiza mpya, ata wakisema tuuze nchi jirani chakula kupanda mpaka kufikia bei ya kutisha ni hapana.
NB: hapa nazungumzia mazao ya chakula ambayo wanalima watanzania kwa wingi mf. Mahindi na mchele .....etcetera etcetera
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry brother hiyo namba haipo millioni moja na laki nne gunia la Mahindi?Unakumbuka 2017 gunia la mahindi lilifika 1400000 hii kwa walaji unadhani ilikuwa ni affordable price ?
Nilizidisha sifuri mkuuSorry brother hiyo namba haipo millioni moja na laki nne gunia la Mahindi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kilimo mkuu jau sana mkuu sio kama mnavyoambiwa.Kama kulima ni rahisi basi kalime sio kuzuga mjini ‘kusikilizia’ michongo.
cc: miminimkulimaakachekasana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona huu ndio umekua msimamo wake toka aingie madarakani, amekua akisema mtu hawezi kuhenyeka shambani alafu Serikali imuambie uza bei ndogo.
Ndio maana hata thamani ya korosho aliipandisha toka kilo moja 1500 hadi 3800 - 4000. Kama unaona vipi nawe si ukalime?
We matanga wastani umetoa wapi wakati yeye kasema wauze kwa bei ya juu?Mmezoea kuwaumiza wakulima.
Watauza kwa bei ya wastani ya soko na si chini ya hapo.
Nakumbuka alivyowasaidia wale wa korosho, unakumbuka kilichowakuta?Kazi yenu kupotosha sikuiz imekua ya kijinga Sasa magufuli amesema wakipima wasiuze mazao Yao kwa hasara waangalie Bei wewe unakuja kumkosoa ivi unajua wakulima wanavyo nyonywa
Madalali wana tabia ya kupangia watu bei! Mwisho wa siku anaye earn more ni dalali halafu mkulima anabaki masikini! Ila kwa kauli hii ya Mhe.Rais basi watakaosuffer zaidi ni wao.Ila inaonekana hujakutana nao that's why unaongea simple tu kama huku unakunywa juisi uipendayo.We matanga wastani umetoa wapi wakati yeye kasema wauze kwa bei ya juu?
Hivi ni huyu huyu aliyewasaidia wakulima wa korosho?Hata nimeona huyu poyoyo, alitaka rais aseme Nini au ashauri wakulima wauze kwa Bei ya hasara? Kila mwaka wanauza mazao kwa hasara yeye Kama mkuu wa nchi Hana budi kutetea hili tabaka la walala hoi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu ni wewe ishu ya wastani umeitoa wapi wakati yeye kasema wauze bei ya juu?Madalali wana tabia ya kupangia watu bei! Mwisho wa siku anaye earn more ni dalali halafu mkulima anabaki masikini! Ila kwa kauli hii ya Mhe.Rais basi watakaosuffer zaidi ni wao.Ila inaonekana hujakutana nao that's why unaongea simple tu kama huku unakunywa juisi uipendayo.
Hiyo bei yao ya juu ndo ya wastani sokoni!Swali langu ni wewe ishu ya wastani umeitoa wapi wakati yeye kasema wauze bei ya juu?
Na anayeona bei iko juu, akalime mazao yake kisha ayauze kwa bei ya chini.Kama zaidi ya 75% ya watanzania ni wakulima (kama inavyosemekana) huoni kua anapigania maslahi ya walio wengi.
Angesema vinginevyo unadhani comments za wakulima zingekuaje?
Msikilize JPM vizuri, ''na asiyefanya kazi asile.'' wanaokwenda kulima sio wajinga, wanafahamu kwamba wakivuna ni halali yao kupata bei nzuri. Huo ni wito kwa Watanzania kwenda kufanya kazi bila kutegemea sadakarawe.Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.