Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Kwani watumishi wa Umma hawastahili kupandishiwa mishahara? Wamekaa miaka 6 bila kupandishiwa mishahara. Kwa taarifa yako ni Rais peke yake ndiye mwenye mamlaka ya kupandisha mishahara kwa watumishi wa Umma.Kiongozi MPUMBAVU tu ndiye anayedhani watanzania wote milioni 60 ni watumishi wa umma
Hili jibu zuri sana.Kiongozi anayejali wananchi wake asingekubali kukaa miaka 6 madarakani bila nyongeza ya mishahara au kupandisha madaraja.
Ongezeko la mshahara limepunguza gharama za maisha kwa wafanyazi au ndio utaratibu tu umefuatwa?Hili jibu zuri sana.
Yule Ibilisi kwakweli mbwa kabisa
We akiri ndogo unafikiri madege na barabara ndo maendeleo pekee? Maendeleo ni Uhuru wetu ambapo Sasa hivi hatuhofii Tena kusema chochote na kuikosoa serikali waziwazi na ajira zakumwaga private sector na pia kupandishwa mishahara na posho wafanyakazi ili mzunguko wa pes uwe mkubwa. Barabara kwanza zilisababisha mzunguko wa pesa kuwa mdogo Sana na nchi ilikuwa inaenda kukolapse kabisa.Masikini wapi sa hivi unainjoi barabara mtelezo na mnapokea tuzo kwa bashasha zilizopambaniwa na huyo masikini. Lamba asali tu na safari zisizo na kikomo kisa umekuta madege yapo.
Jibu hoja usikimbilie kujificha kwenye non issues!!Ahaaa. Sidhani kama hata la saba ulimaliza.
Issues are very clear. Wanaondaa Safari chanel ya Tbc walikuwa na uwezo mkubwa kuandaa documentary nzuri na ambayo ingeweza kutumika kupromote tourism. Hiyo bil 11 iliyotumika hovyo ingeboresha huduma za afya.Jibu hoja usikimbilie kujificha kwenye non issues!!
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Issues are very clear. Wanaondaa Safari chanel ya Tbc walikuwa na uwezo mkubwa kuandaa documentary nzuri na ambayo ingeweza kutumika kupromote tourism. Hiyo bil 11 iliyotumika hovyo ingeboresha huduma za afya.
Yule mama yako mzazi kumbe ni Ibilisi!!? Nilikuwa sijui pole sana mtoto wa Ibilisi.Hili jibu zuri sana.
Yule Ibilisi kwakweli mbwa kabisa
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu kipya hii filamu iliyogharimu pesa nyingi itabadili kwa sekta ya utalii. Mkuu wa nchi alipaswa kuwa na uchungu na taifa lake na wananchi wake.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito kichwani raia wake!
Kipindi cha dhalimu kukosoa ilikuwa inaitwa uchochezi ama kuikwamisha serikali!Awamu hii kukosolewa inaitwa Chuki.
It tells alot about a person who is in charge.
Mbona miaka yote hiyo hawakuwahi kuja na hiyo idea? Mawazo yanakuwa rahisi kwa mtu baada ya kufanyiwa kazi.Issues are very clear. Wanaondaa Safari chanel ya Tbc walikuwa na uwezo mkubwa kuandaa documentary nzuri na ambayo ingeweza kutumika kupromote tourism. Hiyo bil 11 iliyotumika hovyo ingeboresha huduma za afya.
Shujaa wa Chato na Sukuma gang,ni nchi gani Afrika aliipambania ikapata uhuru???Acha kulinganisha UPUUZI na SHUJAA WA AFRIKA.
Wewe na watu wenye mtizamo kama wako, hawapaswi kulaumiwa maana tatizo lao ni uelewa na exposure. Kumlaumu mtu ambaye akili yake imefikia kimo cha kufikiri ni kumuonea bure.
Kwa lugha rahisi hiyo ni investment ambayo itazalisha. Kwa lugha rahisi zaidi ni mbegu ambayo itazalisha 1000x. .....
Sasa wewe ushauri wako ni kuwa ni bora tungekula mbegu. Mama alipaswa aongoze watoto kula mbegu ili aonekane anajali. Hahaahahah
Kuongoza nchi yenye watu wengi wenye uelewa wa namna hii, you must be very tricky! Vinginevo unaweza ukajikuta unaweka mbegu mezani kweli.
Nakuunga mkono asilimia zote Hawa ndio wale wa kutafuta doa kwenye chochote kinachofanywa na mtu wanayemchukia
Nitoe mfano mmoja tu / muigizaji filamu wa kibongo akipata fursa ya kuigiza na Silvester Stalline ( Rambo) au aigize na wa hapa hapa.
Atapata milege (mafanikio ya kimataifa) na nani?
Mara nyingine unahitaji kugharamia ili utangaze na ufanye biashara.
Mfano tangaza biashara zako wakati wanacheza mpira kwenye Azam Tv Ihefu na Mbeya City au Simba na Yanga !!! Utasikika na kujulikana wapi zaidi???
Na je utangaze Kupitia mechi Ya Liverpool vs Man City.
Mifano mingi sana . Mafanikio ni gharama pia.