Kiongozi makini na anayejali wananchi wake asingekubali zaidi ya bil 11 kutumika kutengeneza filamu ya namna hii badala ya kuboresha huduma za afya

Sema nini, filamu ya Royal tour imekosa influencers wa Kuipush. Kama mama angeshauriwa vizur, kikaandaliwa kikosi kazi kizuri Cha kuipush ingemake sense and tungeona impact yake. Wshauri wake wangeomba uzoefu kwa kikosi Cha Diamond Platinumz namna anvyofanya marketing na kuteka soko within a short period of time. Nilikua naangalia hapa kwenye YouTube ya Account ya Mr Peter aliyopakia kipande Cha Royal tour film akiwa Ngorongoro. Kwa kipindi Cha mwezi mzima tangu apakie video clip hiyo mtandaoni, imetazamwa na watu wasiozidi 904 tuu na ukirejea comments za kwenye video hiyo, utagundua kuwa wengi wa viewers hao ni Wabongo. What does that mean? And behold, Video ya Wonder ya Mond, yenye almost the same duration YouTube, mpaka Sasa ina viewers 4.7M yet ukipitia comments za kwenye video hiyo, utakubaliana nami kuwa jamaa ana viewers wengi nje ya mipaka ya Tanzania na Africa. Tungeweza kuwatumia watu Kama Platinumz na kikosi chake kupush ajenda ya Royal Tour kwa gharama nafuu kuliko kuwategemea whites ambao influence yao ni ndogo Sana. Just Imagine, unamwamine mtu mwenye subscribers 32.8K badala ya mtu wa home mwenye subscribers 6.6M YouTube.
N.B Mimi sio mtaalam wa marketing but najaribu kuihangaisha akili japo kwa elimu yangu ya u diara tena wa the Best Medical school in East and Central Africa, nayajua mengi.
 
Unaizungumziaje ile trilion 1.5 boss au ile huna uchungu nayo
 
Awamu hii kukosolewa inaitwa Chuki.

It tells alot about a person who is in charge.
Awamu ile kukosoa ilikuwa ni usaliti na uwakala wa mabeberu, na pia ilikua ni kudhoofisha jitihada za kiongozi mkuu wa malaika.

Adhabu yake ilikua ni kupigwa masasi
 
Kwa hiyo unajikuta una akili wakati na wewe ni kilaza tu, si mlishaambiwa fedha iliyotumika sio ya serikali?? Hivi ninyi wafuasi wa marehemu mna nini lakini?

Hivi zile ndege za marehemu alizonunua kinyemela bila kushirikisha wadau zilisharudisha ile hela
 
Masikini wapi sa hivi unainjoi barabara mtelezo na mnapokea tuzo kwa bashasha zilizopambaniwa na huyo masikini. Lamba asali tu na safari zisizo na kikomo kisa umekuta madege yapo.
Hata jk alijenga barabara tena nyingi kuliko za jpm.

Halafu ile chato international airport ilisharudisha hela?
 
Mzungu mwenyewe anaropoka ropoka tu hakuna hata la maana...

Nilitama mara moja tu ile movie na nilijilaumu kwakutumia muda wangu vibaya
Kwa hiyo ingekuwa filamu bora endapo ingekufurahisha wewe
 
Issues are very clear. Wanaondaa Safari chanel ya Tbc walikuwa na uwezo mkubwa kuandaa documentary nzuri na ambayo ingeweza kutumika kupromote tourism. Hiyo bil 11 iliyotumika hovyo ingeboresha huduma za afya.
Hela iliyotumika kuandaa hiyo filamu sio ya serikali wewe mlinda kaburi
 
Ni usanii eti HV mnapata wapi muda was kucheki royal tour mwanzo nilipenda wazo ila baada tu kutoka Happ na kwenda kukah huko loss angles wik mbili na kuligarimu taifa mabilion ya shilingi bas nikapoteza msuka was royal tour
Mlishaambiwa haijatumika hata senti ya serikali kwenye hiyo issue acheni chuki
 


Peter Kupitia Ccm Wamejua Kutupiga Mpaka Basi

Lawama Zote Eti Kupanda Kwa Maisha Sababu Ni Vita
Nchi Imevurugika Kuanzia Kila Kitu Unachotaka Kufanya
Mfumuko Wa Bei Juu
 
Hivi ile mbuga yetu pale chato burigi inatembelewa na watalii wangapi kwa mwaka
 
Tuamie iyo movie ina viewer wangap na imeingiza wangap??..

mngeiga hata rwanda ipeni timu inayowika ulaya andiken mabango ya vivutio au hamuoni Etihad wanafanya
Bado mngekosoa tu
 
Issues are very clear. Wanaondaa Safari chanel ya Tbc walikuwa na uwezo mkubwa kuandaa documentary nzuri na ambayo ingeweza kutumika kupromote tourism. Hiyo bil 11 iliyotumika hovyo ingeboresha huduma za afya.
It will be very difficult to measure the return on this investment. Isipokuwa kwa wale waliomchangia Hangaya [ ambao mpaka leo hajawataja] wao wanaweza kujua kama uwekezaji wao kwa kumchangia Hangaya unalipa au haulipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…