Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Sema nini, filamu ya Royal tour imekosa influencers wa Kuipush. Kama mama angeshauriwa vizur, kikaandaliwa kikosi kazi kizuri Cha kuipush ingemake sense and tungeona impact yake. Wshauri wake wangeomba uzoefu kwa kikosi Cha Diamond Platinumz namna anvyofanya marketing na kuteka soko within a short period of time. Nilikua naangalia hapa kwenye YouTube ya Account ya Mr Peter aliyopakia kipande Cha Royal tour film akiwa Ngorongoro. Kwa kipindi Cha mwezi mzima tangu apakie video clip hiyo mtandaoni, imetazamwa na watu wasiozidi 904 tuu na ukirejea comments za kwenye video hiyo, utagundua kuwa wengi wa viewers hao ni Wabongo. What does that mean? And behold, Video ya Wonder ya Mond, yenye almost the same duration YouTube, mpaka Sasa ina viewers 4.7M yet ukipitia comments za kwenye video hiyo, utakubaliana nami kuwa jamaa ana viewers wengi nje ya mipaka ya Tanzania na Africa. Tungeweza kuwatumia watu Kama Platinumz na kikosi chake kupush ajenda ya Royal Tour kwa gharama nafuu kuliko kuwategemea whites ambao influence yao ni ndogo Sana. Just Imagine, unamwamine mtu mwenye subscribers 32.8K badala ya mtu wa home mwenye subscribers 6.6M YouTube.
N.B Mimi sio mtaalam wa marketing but najaribu kuihangaisha akili japo kwa elimu yangu ya u diara tena wa the Best Medical school in East and Central Africa, nayajua mengi.
N.B Mimi sio mtaalam wa marketing but najaribu kuihangaisha akili japo kwa elimu yangu ya u diara tena wa the Best Medical school in East and Central Africa, nayajua mengi.