KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hii umeiandika kikamilifu sana. Wakati mwingine hunichanganya!Hata Jussa wa CUF na sasa hivi ACT alishawahi kuteuliwa na Dkt Kikwete
Unajua chanzo cha Mbatia kuanza kuhisiwa ni TISS?
Mwanzoni mwa Miaka ya 2000 alipatiwa Flat ya kuishi ya NSSF Mbezi Beach Makonde na aliekuwa DG wake Dr Dau
Gari yake ilisajiliwa sambamba na Gari Mia moja za Usalama ambazo zilikuwa na Plate number zinazoanzia na TZR , ( Gari nyingi za TISS wakati huo zilikuwa TZR) sasa Wazee wa Mjini tukashangaa Gari yake ikapewa plate number ( -TZR....) sambamba na za kijitonyama watu wakahisi kapewa na Mfumo kumbe na Dada yake anaeishi Duniani
Kwa hiyo Puuzeni tetesi na Uvumi wowote wa kumhusisha Mh. Mbatia na mambo hayo
Na mimi nataka kujua kama kweli ni tiss kwa prove za uhakika kwasababu binafsi namuona kama mpinzani au mwananchi wa kawaida sio muajiriwa wa tiss,je wewe unaamini kama ni tiss?Unajuwaje kama yeye siyo mwana tiss?
In God we trust
Ni zaidi ya kushawishi, bali kukubaliana na wazo hili.Hapana sio Mbatia. Why CCM wamnunue mwanasiasa asiye na impact yoyote kwenye siasa za Tanzania? They had a bigger fish to catch, and unfortunately, they actually succeeded to. Time will tell!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabere Marando na Mrema walikuwa huyu wewe ndiyo unatoa taarifa ???!!. Tuzidi kupata maoni ya wadau ukweli utakuwa wazi tu.
Mke wa mbatia alikuwa ni meneja pale nssf, kama sikosei wa customer and public relations, na walipangisha nyumba pale mbezi beach,Hata Jussa wa CUF na sasa hivi ACT alishawahi kuteuliwa na Dkt Kikwete
Unajua chanzo cha Mbatia kuanza kuhisiwa ni TISS?
Mwanzoni mwa Miaka ya 2000 alipatiwa Flat ya kuishi ya NSSF Mbezi Beach Makonde na aliekuwa DG wake Dr Dau
Gari yake ilisajiliwa sambamba na Gari Mia moja za Usalama ambazo zilikuwa na Plate number zinazoanzia na TZR , ( Gari nyingi za TISS wakati huo zilikuwa TZR) sasa Wazee wa Mjini tukashangaa Gari yake ikapewa plate number ( -TZR....) sambamba na za kijitonyama watu wakahisi kapewa na Mfumo kumbe na Dada yake anaeishi Duniani
Kwa hiyo Puuzeni tetesi na Uvumi wowote wa kumhusisha Mh. Mbatia na mambo hayo
Mke wa mbatia alikuwa ni meneja pale nssf, kama sikosei wa customer and public relations, na walipangisha nyumba pale mbezi beach,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanifanya nizidi kuamini kuwa huyu ni Nzi!..Mbatia alifukuzwa chuo kikuu wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi kwasababu alikuwa ktk ya viongozi walioongoza mgomo wa wanafuzi wa udsm.
..na alifukuzwa akiwa amebakisha mwaka 1 amalize shahada yake ya uhandisi chuo kikuu Dsm.
..pamoja na kuomba arejee kumalizia masomo yake serekali ilimkatalia.
Mbowe?! Are you serious!Mbowe au Tundulisu wakihama ndo kiukweli ntashangaa, lakini hawa akina SUMAYE, hapana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Fortunately.Hapana sio Mbatia. Why CCM wamnunue mwanasiasa asiye na impact yoyote kwenye siasa za Tanzania? They had a bigger fish to catch, and unfortunately, they actually succeeded to. Time will tell!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii taasisi ni mali ya ccm?"Uyu ni mtumishi wa Tanzania intelligent security service"
Kwa hasara ya nchi yetu na watu wakeCcm nichama chenye mizizi kila kona usishangae hata peter msigwa akawa ni mwanachama wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuona Dr slaa amegonga Like kwenye uzi huu, habari za siku nyingi kamanda Dr slaa.Ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyojivika koti la chama cha siasa.
Ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyojivika koti la chama cha siasa.
Nimemuona Dr slaa amegonga Like kwenye uzi huu, habari za siku nyingi kamanda Dr slaa.
Huwa nakuamini Sana."Uyu ni mtumishi wa Tanzania intelligent security service"