Kuna wakati unakuwaga na akli sana ..ila somtyme sjui huwa unamuazimisha nani..ahsante kwa kutambua kuwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa....neno chama kwa CCM ni geresha tuuu..hyo ni dola usishangae kusikia hata Trump ni member wa CCM
nna wasiwasi sana na yericko Nyerere kuwa ni mtu wa pale getini mkabala na restaurant kwasababu anaongea mambo makubwa mno bila woga Nadhani hata kina mbowe hawamwamini ndio maana hawampi nafasi pamoja ya kwamba anawatetea sana kina mboweAmebaki Malando,Saidi kubenea, Ester bulaya na Yeriko nyerere.
List ni ndefu sana ila wakiondoka hao upinzani kwaanza kushamili kiasi.
OMG...ni TISS...wenyewe wanajiashuaga usalama wa taifa😏
Hata John Mnyika "alifukuzwa" chuo. Labda ni mbinu inayotumika sana na kitengo kwa vifuniko vyao baada ya kukamilisha mission au ku-abort... Kama exit strategy fulani hivi![emoji23][emoji23] eti kilaza!!
Nikukumbushe kitu zamani system nilikuwaa sijui kama inaendelea sasa lazima aidha afukuzwe chuo asimalize halafu anakuwa kama depressed kumbe ndio wale wale,usishangae siku dogo Abdul ni wale wale mkuu.
Mbona ujamshuku mzee wa elimu ya hapa na pale mkuu?
Na mimi nataka kujua kama kweli ni tiss kwa prove za uhakika kwasababu binafsi namuona kama mpinzani au mwananchi wa kawaida sio muajiriwa wa tiss,je wewe unaamini kama ni tiss?
Tupia hata info kwa kuhusishwa kwake kama mtumishi wa tissNdiyo
In God we trust
Hata John Mnyika "alifukuzwa" chuo. Labda ni mbinu inayotumika sana na kitengo kwa vifuniko vyao baada ya kukamilisha mission au ku-abort... Kama exit strategy fulani hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia hata info kwa kuhusishwa kwake kama mtumishi wa tiss
I entirely agree with you mkuu.
Ndio methods imetumika sana miaka ya nyuma sijajua kama inaendelea hadi sasa,je tumuhisi dogo Abdul ni wale wale?
Kujua ukweli tu.Ikusaidie nini maishani mwako?
Kujua ukweli tu.
Kama unaona utaleta matango pori bora ukae kimya kimya na ni tetesi tu hamna mwenye uhakika wa hili
Alafu utafaidika kitu gani ukishajua?
Na wewe unafaidika na nini kuwepo kwenye hii thread?
Binafsi sipo hapa kwa ajili ya ubishi kama unalijua hilo basi upaswi kuniuliza itanisaidia nini kama hujui kitu kaa kimyaJf ni mkusanyiko wa watu wengi sana bila utambulisho wa kazi zao na kama wanazionyesha wengi wao ni kiini macho kwahiyo punguza ubishi usiyo na tija
Binafsi sipo hapa kwa ajili ya ubishi kama unalijua hilo basi upaswi kuniuliza itanisaidia nini kama hujui kitu kaa kimya
Jasusi uchwaraNaona jasusi limeamua kuonyesha rangi yake halisi
Nina wasiwasi na upeo wenu wa kupambanua mamboI entirely agree with you mkuu.
Ndio methods imetumika sana miaka ya nyuma sijajua kama inaendelea hadi sasa,je tumuhisi dogo Abdul ni wale wale?