Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Israel anataka Ardhi na ndivyo kila vita mnapoteza Ardhi na yake inaongezeka muwe mnatumia akili basi , shambulio la oct 7 Israel alipata taari toka Egypt ila aliacha ili iwe sababu ya kuingia huko mnajichanga kijinga sana .
Wewe sasa ndio utumie akili
Israhell tokea octobea saba kapata ardhi ipi?
 
alikuwa bonge la tajiri, $4b sawa na utajiri wa bahresa mara tano, ndio utapata utajiri wa Ismai haniyeh, misaada mingi ya wapalestina wanasema alikuwa anabugia. wamebaki mabilionea kama watatu wanaoishi qatar pia, ambao wanaishi kwa kujificha sana.
 
Upo Sahihi kabisaa mkuu....tukubali au tukatae ukweli utabaki palepale kuwa Israel ni taifa hatari sana kwenye ujasusi
 
imagine, kwa umasikini na ombaomba ya misaada ile ya wapalestina huyu jamaa alikuwa bonge la tajiri, $4b sawa na utajiri wa bahresa mara tano, ndio utapata utajiri wa Ismai haniyeh, misaada mingi ya wapalestina wanasema alikuwa anabugia. wamebaki mabilionea kama watatu wanaoishi qatar pia, ambao wanaishi kwa kujificha sana.
 
Imagine umelala ukiwa na habari ya chief of staff wa Hizbullah ameliwa kichwa alafu unaamka unakutana na habari ya Ismail Haniyeh kawaishwa kuzimu furaha iliyoje.

Dj walete na wimbo wa Dan Msimamo -Siku nzuri inavyokwenda.
 
Ndo supplier mkubwa WA bidhaa Gaza kupitia mahandaki.anatoa misri huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…