Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

unakamata nini mkononi? kitabu cha NGOSWE? au vitabu vya dini?
Nimekwambia unakamata kitabu cha dini yako na kama hauna dini yoyote utaapa kwa mila na desturi unazoziamini ila cha kwanza ni kuilinda na kuitetea Katiba ya Nchi.
 
Watu wamefanya biashara pale 😀

kaka vip kwa hiyo unataka kusema.. kuna mwamba kaiona fursa ashavuta madolari kwa kuuza ramani ya location ya mwanba... dah ila hii dunia.. unaweza kuta mtu wake wa karibu tu kauza raman . halafu utakuta yuko mbele anaitangazia Israel fatwa.. kasimamisha mishipa ya shingo kumbe anajua alichofanya
 
umeniuliza kuhusu yohana,Marko,Luka ama umeniuliza kauli ya yesu?.
wewe umeshavuta bangi ya dini,hakuna utakachokubali hata kama kitafunuliwa katika framework yoyote.
I'M OUT

Tulia tueleweshane kistaarabu

wewe umeniwekea nambari tu bila kuandika umetoa wapi , mimi ndio nikakuuliza vile


Tukiendelea

Francis Young, Mwalimu wa mafunzo ya Agano Jipya katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, akiandika katika kitabu kinachoitwa The Myth of God Incarnate (Uwongo wa Mungu kuwa Mtu) anasema:

"Isipokuwa katika Injili ya Yohana, ambako maneno ya maelezo yamewekwa kwenye mdomo wa Yesu, injili zote nyengine zinaeleza kuwa wenye kutumia maneno kama 'Mtakatifu wa Mungu', au 'Mwana wa Daudi', au 'Mwana wa Mungu' si Yesu bali wengineo.

Jina pekee alilokuwa mwenyewe Yesu daima akilitumia ni 'Mwana wa Adamu'... "

Yafaa pia tukumbuke kuwa katika zama za Yesu ilikuwa ni jambo lililoenea kuwabandikiza ungu viumbe vya hadithini na hata wanaadamu wa kweli kweli walio hai.

Mwandishi wa kipagani Laertu alieandika kitabu kiitwacho Lives of the Philosophers (Maisha ya Mafailasufi), ameandika kuwa mafailasufi kadhaa wa kadhaa walikuwa wana wa Mungu.

Plato amesimuliwa kuwa wazee wake ni miungu; hali kadhaalika Paithagoras akiaminiwa kuwa ni mwana mungu aliyekuwa mwanaadamu na mzazi wake ni mungu aitwae Hermes.

Empedokles pia alidaiwa kuwa ni mungu wa milele aliyekuwa akiponyesha wagonjwa, na wafwasi wake wakimuabudu na kumsalia.

Plutarch, mwandishi mwengine wa zama hizo, alikuwa anaamini kuwa bila ya shaka yo yote Alexander (Iskandar) Mkubwa ni mwana wa mungu, na Romulus, huyo anayedhaniwa kuwa ndiye baba wa Warumi, alikuwa ni Mwana wa Mars (Marrikh), mungu wa vita.

Yeye akiaminiwa kuwa alipaa mbinguni katika kiwingu.

Yapo maandishi ya mwaka 48 K.K. (Kabla ya Yesu) yaliyomweleza Juliasi Kaisari, Mtawala maarfu wa Warumi, kuwa ni 'mungu wa kweli, mwana wa Ares na Aphrodites, mwokozi wa wote wa maisha ya wanaadamu.' Maandishi mengine yanamtaja Agosti Kaisari, aliyerithi utawala wa Juliasi, kuwa 'Mfalme wa wafalme, Kaisari, Mwana wa Mungu, mungu Agosti, mwaangalizi wa ardhi na bahari'.

Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi.

Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.
 
KUISHI NI KRISTO KUFA NI FAIDA! sijakufahamu hapa. rudia
Hujaelewa wapi??
Umeshaanza jihadi ya kupata maini na gongo 😆😆😆
ما أول طعام في حديث الجنة؟

'. أجاب النبي صلى الله عليه وسلم: "أول طعام يأكله أهل الجنة فضل كبد الحوت". 'يوضح العلامة النووي رحمه الله أن فضل الكبد ألذ/أطيب. والله تعالى أعلم
.Nini 'awal taeam fi hadith aljanati?
'. 'ajab alnabiu salaa allah ealayh wasalama: "'awal taeam yakuluh 'ahl aljanat fadl kabid alhuti'." 'yuadih alealamat alnawawia rahimah allah 'ana fadl alkabid 'aladh/'atib. wallah taaalaa 'alama.

IslamQA - Search for Islamic Q&A from four Madhhabs > hadithanswers
'Awal taeam yakuluh 'ahl aljanat - IslamQA

'. Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, akajibu: “Chakula cha kwanza watakachokula watu wa Peponi ni maini ya nyangumi.

IslamQA - Search for Islamic Q&A from four Madhhabs › majibu ya hadithi
مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ulevi kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
KUISHI NI KRISTO KUFA NI FAIDA! sijakufahamu hapa. rudia
 
Alitunguliwa na nani
 
Kama akili ya huyo Ismail wako inafanana na hii ya kwako kuuawa ilikuwa sahihi. Hongera Israel kwa kuipunguzia Dunia mzigo.
 
Uko sahihi lakini wameua watu wengi sana..Kingine wanaua Viongozi wa Iran wenye akili.
 
umeniuliza kuhusu yohana,Marko,Luka ama umeniuliza kauli ya yesu?.
wewe umeshavuta bangi ya dini,hakuna utakachokubali hata kama kitafunuliwa katika framework yoyote.
I'M OUT

Tukiendelea

JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?​


Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?

Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema:

"Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo."

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja.

Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema:

"Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni.

Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
 
Kumbumbuka
Mada ni;

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…