Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.

Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?

Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.

Imeisha hiyo.....!!
 
Wapi imeandikw kwamba waislamu wamepanga kuwaangamiza wakristo na wayahudi ?
 
Eeeeehhhh nasikia usiku wa kuamkia leo, Ayatollah na walinzi wake wamehama handaki na kukimbia location nyingine, wako underground huko Tehran kuhofia kumalizwa na MOSAD, inaonekana MOSAD wameamua kukata vichwa vya viongozi tu au kuwamaliza viongozi wa maadui wao wote, wanajua wakimalizwa hoo, hakuna atakaye toa order za vita tena..!!

Kiongozi wa Hezbollah, Nasrallaah hajulikani alipo, sbb makomandoo wa MOSAD wameingia ndani ya Lebanon hawajulikani na wanamsaka live, Nasrallaah anajirikodi alafu anatuma clip kwa vijana wake waitume kwenye news outlets mbalimbali, ila haijulikani yuko wapi…!!
Pia kiongozi wa Houthi huko Yemen, hajulikani alipo, soon utasikia moto toka angani kwenye ndege vita za Israel zikimmaliza..!!

Ndani ya mwezi mmoja ujao tutasikia mengi..!!
 
Wangekuwa na akili wangemaliza vita ya ghaza kwa miezi 2 tu.
 
Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.

Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?

Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.

Imeisha hiyo.....!!
 
Israel imekuwa inaua viongozi wa Hamas,Iran,Hizbullah nk miaka yote lakini hawajafanikiwa kuondosha hatari kwao so itaendelea kusalia kama ilivyokuwa miaka yote,hakuna jipya sana hapo.
 
Nani kumfunga paka kengele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…