Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Bado wawili kwenye hii list watafuatia
 

Attachments

  • IMG_20240731_064148.jpg
    54.6 KB · Views: 3
Hamas wangekuwa hawajifichi kwa raia naamini vita ingetumia dakika kumi
 
Iran hamna kitu haiwezi kabiliana na Israel

Israel wakiamua waweza ingia hadi ikulu ya Tehran kuua na kuondoka zao
And then wameshinda vita kwa kufanya hivyo upuuzi mtupu targeted assasination hazikuweza kusimamisha nuclear program sembuse hiyo harakat hamas
 
Hamas wanapiga tukio la October 7 intelligence yao ilikuwa wapi?


Mpaka leo mateka bado hawajakomboleawa intelligence yao ipo wapi?
Kwenye mapambano yotote hasara haikosekani hata leo Marekani apigane hata na burundi lazima kuna wawili watatu wa marekani wataondoka,,,haya october 7 israel alipoteza wangapi na hao waarabu wakapoteza wangapi??, tunarudi palepale vita za kisasa mwarabu anataka kupigana kama enzi za wakina sultana ,kwa hizo akili wataendelea kuchezea vichapo tu
 
Raisi WA Iran aliuawa na Helikopta ndani ya Iran sasa kiongzi mkuu WA Hamas ambalo kaliwa kichawa na ndio.alikuwa mwenyekiti WA muungano WA hivyo bikini WA wahouth na Hezbollah

Hapo lazima makamu weneviti wamejifiche vyooni kwao
Wanaojua muda wowote wanaliwa vichwa
 
Pole kijana
Israhell asifyagie kwakua watu wanajificha nyuma ya raia
Akomboe kwanza mateka wake tuone kama anaueezo
Israel anataka Ardhi na ndivyo kila vita mnapoteza Ardhi na yake inaongezeka muwe mnatumia akili basi , shambulio la oct 7 Israel alipata taari toka Egypt ila aliacha ili iwe sababu ya kuingia huko mnajichanga kijinga sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…