Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mungu asaidie isiwe kweli, nafuatilia hapa Al Jazeera kama ni kweli au lah.

Mimi sipendi kabisa vita. Ina majanga mengi sana.
Labda vita ya bibi na bwana, maana huwa inaishia kitandani
 
Ilikuwa suala la muda tu
 
Hivi,hayo mawazo mlifundishwa wapi kwamba akiuawa huyo kiumbe itakuwa dhiki kubwa duniani?
Ona sasa mkuu hangover haijakuisha.
Kwahiyo Israel ndio dunia!??
Nimesema Israel itapata tabu sijasema dunia.
Mashia ni watu ambao wanawahusudu sana viongozi wao wa dini.
Gusa pote ila usiguse kiongozi wa dini wa shia.
Fuatilia historia yao vizuri.
 
Ona sasa mkuu hangover haijakuisha.
Kwahiyo Israel ndio dunia!??
Nimesema Israel itapata tabu sijasema dunia.
Mashia ni watu ambao wanawahusudu sana viongozi wao wa dini.
Gusa pote ila usiguse kiongozi wa dini wa shia.
Fuatilia historia yao vizuri.
Jidanganye hivyohivyo. Subiri akae kwenye tageti halafu tuone hayo mashia yatafanya nini kwa ulimwengu wa leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…