Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Warning, the news about the assassination of Hamas leader Yahya Sinwar is completely false, and the occupation's publication and circulation of this news is an attempt to collect intelligence information, and it had previously done so with leader Muhammad Deif, please be careful ⚠️
 
Jidanganye hivyohivyo. Subiri akae kwenye tageti halafu tuone hayo mashia yatafanya nini kwa ulimwengu wa leo!
Usiseme ulimwengu wa leo sema Israel.
Kama kuuliwa kwa kamanda wa kawaida wa IRGC Iran ilirusha zaidi ya makombora 200+,sasa jiulize ukimuua Supreme leader kitakukuta nini!?
Muda mwingine huwa mnakaza akili kipumbavu wacheni ubishi wa kipumbavu.
Ayatollah ni SUPREME LEADER wa Iran.
Vita itageuka kuwa ya kidini,itakua religious war.
Unajua athari yake kwa Iran!??
Houthi hawajawahi kufikiria kuingia Israel wataingia hilo likitokea as well as Hizbollah.
 
Wanaosema alikua akijificha waumbuka mwamba alikua front kabisa akipambana vitani kama Mtume wetu Alivyopambana live katika battle
Duuh hadi nawahurumia mdg zetu...japo mnawapa moyo buku hawajui waendako.

Kumbe mtu wenu alifurahia akina Joshua na wengine kuuawa oktoba 7?
 
Kati ya israel na hao watu n nan mpenda vita..?
 
Zile fashifashi?Acha vitisho vya kufikirika.Yaani wewe ndiyo unajua sana mipaka ya vipigo kivita kuliko waliopo vitani?🤣🤣🤣
 
1. Kwa hiyo Hezbollah wanamthamini Ayyatolah kuliko maisha yao wanavyokung'utwa sasa hivi?

2. Kuamua kuinigia na kufika Israel ni vitu viwili tofauti
 
Kafa kijinga wakati anapigana jihad?
 
Iran na wafuasi wake huwa mna mbwembwe sana na vimaneno vya mikwara cheap. You just bark bark bark, but never bite. Subiri siku Ayatollah ajae kwenye 18 za wanaume ndo utajua hujui
 
Duuh hadi nawahurumia mdg zetu...japo mnawapa moyo buku hawajui waendako.

Kumbe mtu wenu alifurahia akina Joshua na wengine kuuawa oktoba 7?
Hamas hana shida na akina Joshua iweje wauawe? Lazima tujiulize
 
1. Kwa hiyo Hezbollah wanamthamini Ayyatolah kuliko maisha yao wanavyokung'utwa sasa hivi?

2. Kuamua kuinigia na kufika Israel ni vitu viwili tofauti
1)Unaonaga sherehe wanazofanya mashia za kujichana na mapanga ya kumbukumbu za Hussein!?
Kiongozi wa kidini kwa Shia ni mtu muhimu kuliko maisha yao.
2) Hizbollah wameshaingia mpakani na Israel mara nyingi tu na kufanya mashambulizi na kurudi Lebanon.
Usisahau hata tukio la 2006 waliteka askari wa mpakani wanne na kuua nane ndani ya mipaka ya Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…