Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Sep 28, 2024 #41 Yoav Gallant said: Huyu kobazi huwa anabweka tu akiwa shimoni na kilemba chakke, mikwala mingi bila utekelezaji Click to expand... πππ
Yoav Gallant said: Huyu kobazi huwa anabweka tu akiwa shimoni na kilemba chakke, mikwala mingi bila utekelezaji Click to expand... πππ
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Sep 28, 2024 #42 Paschal qamara said: Israel wangemlipua na yeye kwenye hizo maiki kipindi anatoa hiyo hutuba Click to expand... Tayari kaondoshwa duniani. Sasa Lebanon inakuwa sehemu salama pa kuishi.
Paschal qamara said: Israel wangemlipua na yeye kwenye hizo maiki kipindi anatoa hiyo hutuba Click to expand... Tayari kaondoshwa duniani. Sasa Lebanon inakuwa sehemu salama pa kuishi.
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Sep 28, 2024 #43 Imeloa said: Huyo siku yake inakuja sema tu bado anaandaliwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Click to expand... Imetimia
Imeloa said: Huyo siku yake inakuja sema tu bado anaandaliwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Click to expand... Imetimia
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Sep 28, 2024 #44 Adiosamigo said: Mimi namshangaa speech ya nini? Tunataka utumie silaha ilizo nazo chakaza kabisa Israel, hawa Israel sio wakuwaonea huruma. Speech Speech nani anataka Speech time ya action sio maneno. Click to expand... Subiri kidogo, anatoa speech muda si mrefu.
Adiosamigo said: Mimi namshangaa speech ya nini? Tunataka utumie silaha ilizo nazo chakaza kabisa Israel, hawa Israel sio wakuwaonea huruma. Speech Speech nani anataka Speech time ya action sio maneno. Click to expand... Subiri kidogo, anatoa speech muda si mrefu.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Sep 28, 2024 #45 Mdomo umemponza....
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Sep 28, 2024 #46 Zile pager kulipuliwa zilimchanganya akili. Ni kama walipoteana.
R Record Man JF-Expert Member Joined May 25, 2023 Posts 525 Reaction score 876 Sep 28, 2024 #47 econonist said: Zile pager kulipuliwa zilimchanganya akili. Ni kama walipoteana. Click to expand... Tukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipi
econonist said: Zile pager kulipuliwa zilimchanganya akili. Ni kama walipoteana. Click to expand... Tukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipi
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Sep 28, 2024 #48 Record Man said: Tukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipi Click to expand... Kabisa... Njia zao mpya Ndio zimekuwa si salama kabisa yaani Israel Ndio imetangaza kifo chake kwanza
Record Man said: Tukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipi Click to expand... Kabisa... Njia zao mpya Ndio zimekuwa si salama kabisa yaani Israel Ndio imetangaza kifo chake kwanza
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Sep 28, 2024 #49 Kitimoto said: Tayari kaondolewa duniani. Sasa Lebanon inakuwa sehemu salama pa kuishi. Click to expand... Lebanon itakuwa salama if they get rid or hezbollah. ilikuwa nchi moja nzuri sana but hezbollah walipoingia everything went to shite
Kitimoto said: Tayari kaondolewa duniani. Sasa Lebanon inakuwa sehemu salama pa kuishi. Click to expand... Lebanon itakuwa salama if they get rid or hezbollah. ilikuwa nchi moja nzuri sana but hezbollah walipoingia everything went to shite