Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
😀😀😀Huyu kobazi huwa anabweka tu akiwa shimoni na kilemba chakke, mikwala mingi bila utekelezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Huyu kobazi huwa anabweka tu akiwa shimoni na kilemba chakke, mikwala mingi bila utekelezaji
Tayari kaondoshwa duniani.Israel wangemlipua na yeye kwenye hizo maiki kipindi anatoa hiyo hutuba
ImetimiaHuyo siku yake inakuja sema tu bado anaandaliwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Subiri kidogo, anatoa speech muda si mrefu.Mimi namshangaa speech ya nini? Tunataka utumie silaha ilizo nazo chakaza kabisa Israel, hawa Israel sio wakuwaonea huruma. Speech Speech nani anataka Speech time ya action sio maneno.
Tukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipiZile pager kulipuliwa zilimchanganya akili. Ni kama walipoteana.
Kabisa... Njia zao mpya Ndio zimekuwa si salama kabisa yaani Israel Ndio imetangaza kifo chake kwanzaTukio Lile lilisababisha Hawa jamaa kushidwa kuamua wawasiliane vipi
Lebanon itakuwa salama if they get rid or hezbollah. ilikuwa nchi moja nzuri sana but hezbollah walipoingia everything went to shiteTayari kaondolewa duniani.
Sasa Lebanon inakuwa sehemu salama pa kuishi.