gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Hivyo ni vyama vya siasa bro. Lakini majority yao ni waislam kama ilivyo ACT wazalendo tu majority yao ni waislam -wazanzibar japo wakristo wapoSo tunakubaliana kwa kauri moja Safi kabisa kwamba Hezbollah na Hamas ni vikundi vya Kiislam, right?