Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

So tunakubaliana kwa kauri moja Safi kabisa kwamba Hezbollah na Hamas ni vikundi vya Kiislam, right?
Hivyo ni vyama vya siasa bro. Lakini majority yao ni waislam kama ilivyo ACT wazalendo tu majority yao ni waislam -wazanzibar japo wakristo wapo
 
Majority au wote ni Waislamu na wanatenda maagizo ya kwenye hiyo dini.
 
Back
Top Bottom