Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Israel anasafisha njia
Njia gani mzee? Wewe unashambuliwa live ndani ya ardhi yako na mahasara kibao ya miundombinu ya kijeshi halafu wewe unahangaika na wanamgambo badala ya anayekushambulia live?

Israel ana akilo kiduchu sana yaani anadhani kuua viongozi wa wanamgambo ndiyo kushinda vita anashindwa kujua kwamba Hezbollah ama Hamas ni idealogy sio mtu mmoj mmoja.

Alimuua Nasrallah lakini hata baada ya kifo chake Hezbollah ameendelea kumshushia makombora na pia kuua wanajeshi wanaovuka mpaka kwa miguu.
 
Umeandika kwa hasira.Tulia halafu uwaulize Hezbollah uchungu walioupata.Acha kuendeshwa kwa hisia.
 
Hakuna kupunguza.Mwendo ni uleule hadi mtu aombe maji ya mto Jordan.
Kipigo alichokula juzi kutoka kwa Iran hiki ndiyo kisasi cha kupambana na wanamgambo badala ya aliyekushambulia?

Si mlisema Iran ameingia kwenye mfumo wa mabeberu kwamba utawala wake umefikia mwisho?

Ameikung'uta Israel mara mbili mfululizo bila majibu na Iran alivyo mbabe kawaita baadhi ya mabalozi wa Ulaya kuwahoji kwanini nchi zao zimelaani kuishambulia Israel?
 
Mbona una haraka?Usilie baadaye.
 
INASEMEKANA...ahhhaaaah....akili za Kobazi
 
Sasa mbona wanajificha huko chini kama panya.
 
Hezbollah kamatia hapo hapo mtu keshachangayikiwa huku anaangusha majumba hovyo.
 
Acha kupotosha, kwa maelezo ya MUNGU/Allah yanasema yeye ndiye anayepanga nani aende mbinguni akakutane na mabikira na nani aende motoni akaungue lakini siyo binadamu kujichagulia pa kwenda
 
Mbona hapa hukuongelea habari ya wafia dini kwenda kurithi bikra 72 Huko jongomeo?!! 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…